Recent content by hopeharold

  1. hopeharold

    Mara kumekucha leo, Sasa ni zamu ya Makongoro Nyerere wote mnakaribishwa

    Tutamsikia naye ana hoja gani. Ndio tunatakiwa kumsikia na sio kuanza kurusha vijembe visivyokuwa na maana
  2. hopeharold

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Mi toka Leti Matabane afe kimchezo ndipo nami nikaishia hapo. Na nandipa (hlubi mboya) nae sijui akatoka ndio ikawa mwisho wangu wa kuangalia Isidingo
  3. hopeharold

    K Lyn afunguka kuhusu maisha yake na muziki

    warumi hahahah umenichekesha sana
  4. hopeharold

    Rais Zuma amesaini Sheria ya kuwaweka alama waathirika wa UKIMWI

    Dioniz Malinzi awekwe alama hiyo usoni maana ameshaua watu wengi mno. Na bado anausambaza. Baba mbaya yule
  5. hopeharold

    Makato ya CRDB yananikimbiza

    Huyo kimea sijui kimeo akapumzike sasa. Muda wote huo hajatosheka tuu. Duh nilijua amemaliza muda wake kumbe bado analalia hela
  6. hopeharold

    Wabomoa kaburi na kumwibia marehemu nguo

    🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 nduki
  7. hopeharold

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom Tanzania week hii mtandao unasuasua sana kuna tatizo gani?
  8. hopeharold

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Asante Kaka umeokoa maisha kwa namna moja ama nyingine. Ubarikiwe sana Synthesizer
  9. hopeharold

    Gari la Naibu Waziri, kageuza Plate Number

    Itakuwa ni waziri wa maji yale aliyosema VECTOR :confused:
  10. hopeharold

    Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

    Jibu sahihi kabisa. Mood ni kitu muhimu cha kuangalia. Ndio maana mi nikijua mood ipo kivingine huwa nampa taadhari shemeji yenu.
  11. hopeharold

    Nataka kumuacha mke wangu

    Hebu Jaribuni kuwa waungwana. Kwani hata kama hajaona kwa ajili ya mama yake ndio aone mama yake anatukanwa afurahie? Mnachokifanya ni kujaribu kuinusuru ndoa ya mwenzenu sio kitu kibaya ni sawa kabisa ingawaje hajaomba ushauri isipokuwa ameuliza sheria inasemaje katika hilo la kumuacha mke kwa...
  12. hopeharold

    Miguu ya wanawake

    Miguu mizuri ni kama nakshi tu katika mapenzi
  13. hopeharold

    Bata mzinga wanauzwa

    Watamu hao hataree
  14. hopeharold

    Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

    Ni kweli dharau kwa wanawake zinakuwepo sana sijui kwa nini lakini hilo dhahir lipo
Back
Top Bottom