ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Hao watu waliopiga hilo tukio lazima watakuwa na akili za wadudu. dah!
Hao wezi wanastahili kupongezwa
ni ujinga mno kumzika mtu na vitu vya thamani..
ujinga kabisa
walivyo mzika na mabegi na vito walitegemea nini na kwa nini wamemzika na mabegi au huko aendako akabadili nguo au akafanye biashara mambo mengine hayahitaji akili za kuambiwa kabisa yaani
Hao wezi wanastahili kupongezwa
ni ujinga mno kumzika mtu na vitu vya thamani..
ujinga kabisa
marehemu ndiye alisema akifa azikwe na vitu vyake vyote,hawana makosa hao
marehemu ndiye alisema akifa azikwe na vitu vyake vyote
Na marehemu akisema azikwe na gari zake zote?
Ni makaburi yaliyo nyuma ya Tamco Kibaha nilivyosimuliwa majuzi nikitokea Vikawe Marehemu pia alizikwa na kiasi kikubwa cha pesa na simu zake za gharama 3,na huenda hiyo ndio ilichangia sana kuwavuta wahalifu ingawa ndg hawasemi kua alizikwa na pesa kuepuka mkono wa sheria lkn kwa mujibu wa mkazi wa maeneo hayo alivyotusimulia marehemu pia alivuliwa suti alovishwa yaani jamaa walimuacha na boxer na sanda tu!dunia hii
marehemu ndiye alisema akifa azikwe na vitu vyake vyote
duuuuu!!! watu wanapataga wapi ujasiri wa kucheza na maiti??