Makato ya CRDB yananikimbiza

Makato ya CRDB yananikimbiza

Huyo kimea sijui kimeo akapumzike sasa. Muda wote huo hajatosheka tuu. Duh nilijua amemaliza muda wake kumbe bado analalia hela
 
Hii mada imekaa kiuchonganishi...badala tujadili kwa kina, tunazodoa kwa fitina na majungu...
 
Huyo kimea sijui kimeo akapumzike sasa. Muda wote huo hajatosheka tuu. Duh nilijua amemaliza muda wake kumbe bado analalia hela

apumzike vipi wakati CRBD ni mali yake binafsi. Hii benki imezidi sana makato.
 
Mwenye benki ni mchagga unategemea nini? Wizi kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom