The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
View attachment 237029
Hili gari nimejiuliza alikuwa na maana gani kugeuza plate numbe? Nimeona kama ni la naibu waziri ila wizara ndio sijajua.
Ndio maana maji yanarudi kinyume badala ya kutoka yavuta hewa:smile-big:Naibu Waziri Maji
Amos Makala huyo
​waweke mara ngapi, nakumbuka moja ya mama Salma anaenda kwenye kampeni na gari plate number private lakini vioo vimechorwa STK, hii nchi full mazingaombweMwisho wa siku itawekwa private number kabisa
​waweke mara ngapi, nakumbuka moja ya mama Salma anaenda kwenye kampeni na gari plate number private lakini vioo vimechorwa STK, hii nchi full mazingaombwe
Sio naibu waziri wa MALI ASILI kweli?
Siku hizi nyoka ndo wanatengeneza magari garage?Unajua haya magari ya mawaziri yanabadilishwa plate no kila siku itakuwa suka tuu alimwachia nyoka garage.
top officials wote magari yao yana plate number tatu kwa usalama wao. utakuta anatumia stk/stl, au private au plate number ya cheo chake. pia kila mkoa una plate number za hao wakuu, leo waziri akipanda ndege kwenda bukoba, huko atakuta ameshatayarishiwa gari lenye plate number ya cheo chake. inshort magari ya viongozi wetu, plate number zake ni bandika bandua.