Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

sababu ziko kibao, ila jamaa mmoja mwenye hekima zake aliwahi kusema 'if a woman cheats, it's premeditated', which makes it MUCH WORSE.
 
Kama mkeo ana guts za kutoka nje nawewe mumewe ukajua kabisa kua

anafanya hivo na ukamezea... Kuna kitu gani cha kukuheshimia hapo??

Hii post imenigusa sana dada. Ni kweli kabisa kuwa kama mke anatoka na kucheat ni wazi kuwa hapo hakina heshima tena.

Swali langu ni juu ya mume.... je akitoka na wewe ukajua, hiyo heshima anayoisema mtoa mada itakuwa bado inacount au?? Kwamba atoke kisha arudi na zawadi kedekede..... bado inacount kama heshima??
 
Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu

Kusonya huo usanii kwamba amekufia, akifika nyumbani anasawazisha. Kwanini asiachane na mumewe kama anakupenda?
 
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja ndani, kwanini lakini???

Labda hamuwatii vizuri jamani wangu nitamueka tego akisubutu tu wanase huko.
 
Dawa ya huyo mwanamke ni kumrudisha kwao akawafanyie dharau wazazi wake.
 
Wahenga walisema........sumu ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Dawa ya wanawake hao....wewe kamata wa kwako. Mkirudi nyumbani yeye akisonya wewe unamng'ong'a.
 
Huu ni uongo.
Mwanamke aliyeolewa anajiheshimu sana, hana tabia mbaya ndio maana akaolewa.
Anajitambua, ni mcha Mungu, mshauri na mlezi wa familia. Atafanya umalaya saa ngapi?
Angekua na tabia hizo mnazozisema wala asingeolwa.
Ni visingizio vyenu tu wanaume mnaotoka nje ya ndoa muonekane mnachofanya hata wake zenu wanafanya.
Mwanaume achana na michepuko. Mke akijua akiamua kukupotezea hakuulizi unasema analeta nyodo.
 
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto.

Atoke tu hata usiporudi na zawadi kama sijahisi kitu wala haina shida.
Ila nijue uametoka kuchepuka huko hata anijie na toyota ist ntakachomfanyia atajuta kunijua.
 
Ww futa kauli yako don't be so sure utaja pewa surprise ukachanganyikiwa.

Hivyo ndo navyoamini mkuu na simfuatilii kabisa mambo yake so akigongwa nje ni kwa starehe zake na mi akinipa nakula ila mi sichepuki kabisaaa ...topic ya siku nyingi hii sijui nani kaiibua aisee
 
Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu

Musharaf isije kuwa kinyume chake!
 
Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu
Angalia usije na wewe ukagongwa!
 
Back
Top Bottom