Recent content by hoop

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameamua kuniacha bila sababu sasa anataka tuuze nyumba tugawane pesa

    Mpe hela tu uishi kwa amani ktk iyo nyumba vinginevyo utapata mgogoro wa fikra ktk maisha yako yote, Unaonekana unajiweza kimaisha kutokana na maelezo yako, so mpe hela yake aliyowekaza asepe. Jsho la mtu haliliwi bure otherwise u will suffer for the rest of your wife. Refer ile story ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Dude amshasema aji asses na amemtaka aachie madaraka
  3. H

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Mkuu kashamwambia aji asses na anamtaka aachie madaraka
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kabati la kuuzia chips

    Habari zenu wakuu Nahitaji kabati la kuuzia chips, liwe kubwa kiasi na sio kidogo litakaloweza kubeba, chips, kuku, mishikaki na kachumbali na vinginevyo Liwe na sehemu mbili i meab juu na chini lisiwe used kupita kiasi hadi kupoteza mvuto. Kama unalo njoo pm Picha muhimu sana na vipimo...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tujifunze: Niliuza simu na kuanzisha biashara

    Small beginning always has a big impact
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nikopeshe mkuu nipo tayari kukulipa kwa riba au hata tushirikiane ktk biashara ili mradi pesa yako izunguke isikae bure Serious
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ukiwa unafanya kazi private huwezi kujiunga na government?

    Mbona kama umejibu opposite mkuu, rudia alichouliza mtoa mada
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Ningependa uniajiri mkuu, Ni vigumu sana kufanya uchambuzi ni biashara gani kwa haraka haraka, vyakula iko poa ila inategemea kama ni mgahawa wa saizi ya kati au duka la nafaka, bar pia kwa arusha inalipa vzr sana
  9. H

    JamiiForums Tanzania Duka la dawa mhimu za binadamu

    Bei gan
  10. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ajira

    Ulijiajiri kwa aina gani ya biashara??
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume: Kwanini tunaficha mali ili wake zetu wasijue kama tunazo?

    Waambie tu familia yake,,,kama unaijua lakini
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kusita sita kwenda kuanza kibarua

    Ah ah ah ah acha utani mkuu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kusita sita kwenda kuanza kibarua

    Nashukuru kaka,,ni changamoto saana
Back
Top Bottom