Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,013
- 1,634
Wakuu mimi nafanya kazi kwenye shirika binafsi ila natamani ajira za serikali zikitoka nijiunge na serikali ila kuna mtumishi mmoja wa serikali kanitia hofu amesema ukishaingizwa kwenye system ya payroll ya private sector serikali haiwezi kukuajiri hata kama utaamua kutoka huko private. Naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.