Depretty
JF-Expert Member
- Jun 14, 2013
- 248
- 98
Habari naomba mnisaidie kupata kazi..elimu yangu kidato cha 4,umri 25 jinsia ke,..nina ujuzi wa computer katika programs mbali mbali mfno (publisher, power point ,etc).
kazi nazoweza kufanya ni secretary, mapokezi,msaidizi wa ofisi.kuuza duka,usafi wa ofsn stationery, kwenye suoermarkets,viwandani na kazi yyte hlali ambayo aitokua na kipangamiz kwangu na kwa mwajil pia.
kuna baadhi ya kazi nina uzoefu nazo na zingnr sina uzoefu nazo lakin niko tyr kufanya kama internship hata kwa wiki au mwezi mzima ili kupata uzoefu kisha kuajiriwa kabisa.
Nishawai kuweka tangazo la kuomba kazi lakini sijabhtika kupata,najaribu kujiajiri lakini tatizo mtaji
shukran
napatikana dar es salaam tabata kinyerezi