Recent content by Hongoa PJ

  1. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Mkuu, Hongera sana kwa kazi nzuri ya kuwaunganisha great thinkers. Naomba Option hii iwepo, mwanzilishi wa uzi awe na uwezo wa kuzuia comments kwenye uzi wake hususani kwa zile nyuzi zenye mtiririko maalum.
  2. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Engineer umesota si kitoto.
  3. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina wanaotakiwa kusahihisha maombi ya mkopo 2019/2020

    Muhuri utakuwa hauonekani
  4. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Takwimu zinaonyesha mko active sana
  5. Hongoa PJ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Halotel wana network ya 4g??

    Jamaa alichanganya hapa, hiki cha 1000 kinatusaidia sana.
  6. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania UPDATES | SECOND SELECTION kwa Vyuo Vyote Tanzania Mwaka wa Masomo 2019/2020

    Mkuu kama unakwama ni vema aangalie kwenye Account yake kwenye chuo husika alichoApply. Na huu sio uongo Selections zimetoka.
  7. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania UPDATES | SECOND SELECTION kwa Vyuo Vyote Tanzania Mwaka wa Masomo 2019/2020

    Hii hapa List ya Vyuo Vyote Tanzania Vilivyotoa List ya Majina ya wanafunzi waliodahiliwa katika awamu ya pili NB; Hii thread itakua UPDATED Kulingana na Vyuo vitakavyotoa majina *Unaweza kupata PDF ya majina yote kwa Haraka zaidi kupitia hapa [emoji1485]https://t.me/ElimikaZaid 01. TUMAINI...
  8. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo) Joining Instructions Kwa Mwaka wa Masomo 2019/2020

    [emoji419]Hii hapa Joining Instructions, Admission Letter na Medical Form ya TUDARco Kwa mwaka wa Masomo 2019/2020 [emoji1485]https://www.elimikazaidi.com/2019/08/tudarco-joining-instructions-admission.html [emoji186]Kupata Joining Instructions kwa Vyuo vingine...
  9. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki Tujifunze: Baadhi ya mavazi ya Askofu na maana yake

    Somo zuri Mr. Khan
  10. Hongoa PJ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF mna shida gani?

    Punguza Stress, Inaonekana waliokukaribisha JF ni wavulana. Kwa niaba ya wanaume wote karibu JF
  11. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania Wale wa Moshi technical unakumbuka nini?

    Hahahahaha [emoji23] Nakumbuka Pindi la Engineering Science Koba anakuambia tunafukia mashimo na kukimbia kwa speed ya supersonic.
  12. Hongoa PJ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Into the Badlands inatoka lini wakui
  13. Hongoa PJ

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umetisha mkuu
  14. Hongoa PJ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufalme wa Nugutu

    Mfalme wa Nugutu nimefika.
Back
Top Bottom