Wale wa Moshi technical unakumbuka nini?

Mpande yupo hai pale moshi mjini...alipata ajali kipind flan but yu hai. ..amefariki Mwalimu Athuman aliyekuwa akifundisha MV.
asante na pole nlifikiri alifariki,
Mpande alikuwa mbabe sana alafu alikuwa anachapa madem wa kisukuma kipindi hicho wanakuja washamba washamba.

mwlim mhina alikuwa na baikseli yake sitosahau aisee.
 
Hahahahaha
Nakumbuka Pindi la Engineering Science Koba anakuambia tunafukia mashimo na kukimbia kwa speed ya supersonic.
 
Back
Top Bottom