Recent content by honeynkane

  1. honeynkane

    Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

    Asaa ww unasema asizae au azaee hauko karibu naye hujui life lake na huwezi kumshauri kitu cozy hujui chochote zaidi ya uvumi na umbeya wa instagram.
  2. honeynkane

    Naomba ushauri mke wangu ananisema kwenye What's App

    Ww kaka tulia wala usimuulize endelea kama kawaida akimaliza vijembe akiona anauwezo wakukuuliza na mnaweza kuyaogea atafanya hivyoo. Maana hiyo si njia ya kutatua tatizo. Ujinga na kukosa uwanamke
  3. honeynkane

    Wanawake mnaombaomba hadi kero ndo maana mnapigwa mimba hovyo

    Jamaani kweli wasichana tubadilike tusifanye wanaume kama kitega uchumi cozy ukiwa hivyo maendeleo huyaoni. Embu vuta picha kunakuachwa kwa hiyo ww hutosubiria kujiagalia y nimeachana na huyu mtu au ulikuwa na mapungufu ngani ili ukipata mahusiano mengine usiyaharibu. Utafanya haraka kumtafuta...
  4. honeynkane

    Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

    Sikatai hao wapo tena wapo wanaosema naolewa ni toe nuski. Ujue ndoa inakuwa tamu ukijielewa kuwa ww mwanamke nimsingi wa family pia ndio ua linaloleta upendo kuolewa sio fashion maana raha ya ndoa mwanamke udumu pia mwanamke ukiolewa umesitirika ukatae ukubali unakuwa na heshima yake.@housegirl
  5. honeynkane

    Wanawake na matatizo yao katika mahusiano ya kimapenzi

    Ujue kila mtu anamlalamikia mwenzake kuwa ni mbaya naamaanisha kati ya wanawake na mwanaume cha msingi kama ulikuwa kipofu kwenye lile penzi sasa jifunze endelea na maisha tafuta mwingine utapata aliye mwema kaka ukisema unaimani nisawa sawa huko kwenye biashara uliyotarajia utapata hela ikakata...
  6. honeynkane

    Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo ovyo

    Ujue kuobwa namba jambo la kawaida msikilize mtu anayosema alafu kama unaona humuelewi unamueleza anakuelewa unakuwa marafiki tu utakuta huyo huyo mtu oneday utakuja kumtumia kwenye shida yako usibague pia kwaajili amechoka ujue kila mtu anahumuhimu siku moja atakuja saidia na uchovu wake
  7. honeynkane

    Kauli za wanawake zinazoboa

    Nop unakosea sema uliokumbana nao
  8. honeynkane

    Kauli za wanawake zinazoboa

    Nop wapo wako wenye heshima unataka kusema nchi nzima hakuna? Duhhh utakuwa umekata tamaa kwa kilicho kusibu
  9. honeynkane

    Kauli za wanawake zinazoboa

    Sio wote wako hivyoo wengine wako na heshima zao pia hata popote ukienda utakumbana nao
  10. honeynkane

    Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

    Mtu awezi olewa kwaajili ya kuonyesha wezake bali kuna umri ukifika lazima msichana anakuwa na matamanio na yy aolewe
  11. honeynkane

    Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

    Ujue msimamo wako ni silaha tosha hata kama ukisema huna mtu wakija ukisema noo na itakuwa noo unatakiwa ujitambue nauwe na msimamo na malengo
  12. honeynkane

    Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

    Kama umependa na unapenda kumpost ww mpost weka status ila unakuja kujisikia vibaya pale mnapo achana lazima utaitoa na wale walio makini utaazwa kuuliza Ndio utapoona ukaraha wakupost .
  13. honeynkane

    Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa

    Kweli kuolewa kumekuwa adimu
Back
Top Bottom