Naomba ushauri mke wangu ananisema kwenye What's App

Naomba ushauri mke wangu ananisema kwenye What's App

Nyie ndio mnawapa hawa wanawake nguvu za ku dare kutufanyia ujinga.
Wewe unajitambua hawa viumbe kamwe hawawezi kuchezea mkuu..
Anyway_hao wote wanaokuja mitandaoni kulalamika mambo ya hovyo kama haya wengi wao ni wale waliosoma academy...dont know why wako very weak.
 
Kuna mwanachama mwenzetu yeye status zake huwa nashangaa. Yani ni kama anamsema mumewe kila siku.
Anaweza kua ndio huyo mkeo.
 
Wadau

Mke wangu ananiwekea message kwenye profile yake kunisema.nikimuuliza kuna tatizo gani ananiambia hakuna tatizo.

Yani nashindwa kumuelewa message za vijembe kama analalamika vile eti simpendi.na mi sina mwanamke nje.

Nifanyeje?
Ww kaka tulia wala usimuulize endelea kama kawaida akimaliza vijembe akiona anauwezo wakukuuliza na mnaweza kuyaogea atafanya hivyoo. Maana hiyo si njia ya kutatua tatizo. Ujinga na kukosa uwanamke
 
We rekebisha yale anayolalamikia hata kama unahisi hakuna kunakohitaji marekebisho mapenzi sanaa hivyo ubunifu lazima maana hawa viumbe kuwa wazi kuliwapita kushoto
 
Usimuulize we mlie ngumu tu mpaka atakapofunguka.
Kwani ni mkwere?
 
Nimecheka sana Ivi mkuu muda unaupata wapi wakupekura ameandika nini kwenye Dp au Status ya mkeo tena,ndoa yenu ina miaka mingapi?
na wenyewe mna miaka mingapi?
 
Wadau

Mke wangu ananiwekea message kwenye profile yake kunisema.nikimuuliza kuna tatizo gani ananiambia hakuna tatizo.

Yani nashindwa kumuelewa message za vijembe kama analalamika vile eti simpendi.na mi sina mwanamke nje.

Nifanyeje?
Pole sana hebu tupe mfano
 
Ww kaka tulia wala usimuulize endelea kama kawaida akimaliza vijembe akiona anauwezo wakukuuliza na mnaweza kuyaogea atafanya hivyoo. Maana hiyo si njia ya kutatua tatizo. Ujinga na kukosa uwanamke
Nishamalizana nae leo kiutu uzima .nashukuru sana kwa ushauri wenu
 
Nimecheka sana Ivi mkuu muda unaupata wapi wakupekura ameandika nini kwenye Dp au Status ya mkeo tena,ndoa yenu ina miaka mingapi?
na wenyewe mna miaka mingapi?
Ha ha unamaswali mengi kwani we nipolisi?
 
Nakufananisha na mtu aliebanwa na gogo, hlf anaenda muuliza jirani yake, nimebanwa na gogo, nshaur nifanyaje niende chooni au? Waterloo
 
Back
Top Bottom