Recent content by hondolla

  1. hondolla

    JamiiForums Tanzania Nilivyonaswa na Shangingi wakati natafuta ghetto

    Haswaa.
  2. hondolla

    JamiiForums Tanzania Kwa tunapoelekea tutawafukuzisha shule wengi sana

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. hondolla

    JamiiForums Tanzania Happy bday to me brenda18

    [emoji1]
  4. hondolla

    JamiiForums Tanzania Jeshi latanda Mjini Songea

    Balaaa
  5. hondolla

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Android phone na utatuzi wake

    Asante mkuu
  6. hondolla

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Android phone na utatuzi wake

    Simu ninayotumia i aeza ikajibadili audio profile yenyewe na nimezima economy au power save. Shida itakua nini apo?? Natumia Tecno phantom Z/au A7
  7. hondolla

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wabunge zaidi 50 wa vyama mbalimbali kujiunga na ACT

    Hawabadili vyama wala kuianzisha vipya bali wanatengeneza choko choko mfano Uamsho na kadhalika
  8. hondolla

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wabunge zaidi 50 wa vyama mbalimbali kujiunga na ACT

    Amakweli nimeamini siasa ni mchezo. Sasa hapo ndo ashawatishia watashindwa ata kusukuma kete. Poaitive mind mbele ila tatizo liko pale pale the Intelligent are still silent.
  9. hondolla

    JamiiForums Tanzania Kwanini pikipiki na baiskeli zinatembea kwa matairi mawili?

    Daaah kweli kuishi na binadamu kazi sana. Kama hujui au huoni thamani ya alichouliza bora ungenyamaza tuu.
  10. hondolla

    JamiiForums Tanzania Zantel pekee ndio mbadala wa Tigo na Voda, Soma hii

    Mtandao wa ajabu kabisa vocha unaweka zinagoma alaf ukipiga simu huduma kwa wateja unasubirishwa muda mrefu sana. Nimepiga simu huduma kwa wateja dakika ishirini inaniambia subiri utaunganishwa. Haaah kwakweli nimeshangaa sana. Huo mtandao mbovu
  11. hondolla

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe akiomba kura nafasi ya Uongozi wa Chama ACT

    Siasa kama mapenzi ya kihindi
  12. hondolla

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam tujiandae kwa Land Slide

    Labda gully au gullies lakini sio io kitu unayosema
  13. hondolla

    JamiiForums Tanzania Uliza ujibiwe Kisayansi kuhusu viumbe pori

    Naomba niulize swali. Je ni kweli Rhino/kifaru anakula nyama na mimea pia? Maana nimesoma somewhere wamesema ni Omnivore animal. Na kama ni kweli mechanism ya digestion inakuaje? Na je ana meno ya kutafunia hiyo nyama?
  14. hondolla

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wako dunia ipi?

    :A S 13: duuh
  15. hondolla

    JamiiForums Tanzania Bible In Which Jesus Foretold The Coming Of Prophet Muhammad Found!

    they are just tryna catch our attention for ruthless man made tricks
Back
Top Bottom