Matatizo ya Android phone na utatuzi wake

Kingine memory card yangu ni 8gb sijaingiza vitu vingi ila imejaa niinguie wapi kufuta visivyo hitajika
 
Tecno Phantom Z iliingia bia baada ya hapo ilikuwa na shida zifuatazo……

1) Kuchelewa kuwaka :- Haiwaki kama kawaida inavyotakiwa yaani ilikuwa inachelewa sana kuwaka unaweza kuwasha ndani ya masaa 3 haijawaka na inaweza ikaamua muda mwingine ikawaka kama kawaida.

2) Betri haiingii chaji :- Betri haiingii chaji kabisa japo ukiweka chaj ilikuwa inaonyesha inaingia lakin haiingii ata uweke masaa saba hukuti ata bar moja imejaa.

3) Touch haifanyi kazi:- Touch haifanyikazi yaan kidole haki sense kabisa ila ile cover ya cm ya juu ya screen ilikuwa ina sense ukifunika ukifunua……

Nilipeleka kwa fundi wote ninaowajua ila wamechemka wote.

Anaewezakunisaidia anisaidie tafadhari

hiyo kaa nayo tu hivyo hivyo itakuja kujirekibisha yenyewe. sio utani ni kweli kabisa, ikipita miezi mitatu bado haijakaa sawa basi imekufa.
 
Mkuu media nimehamisha ila
1. Picha/video hazionekani tena (kama vile hazipo kabisa)
2. Bado internal memery bado inasoma kuna nafasi imechukukiwa na photos & video
View attachment 244811

Inaezekana umenunua memory card fake ambazo kwa nje imeandikwa gb8 lskn ukiangalia capacity yake ni 15 plz tafuta ya memory card ya capacity ya chini kisha leta nrejesho
 
Kuna appl ambayo ukidownload inakusevu kumove aplic kwenda scd
 
Inaezekana umenunua memory card fake ambazo kwa nje imeandikwa gb8 lskn ukiangalia capacity yake ni 15 plz tafuta ya memory card ya capacity ya chini kisha leta nrejesho

Mkuu na mimi nilijua tatizo ni hilo ila siku nyingi nimejaribu ya 8gb tatizo ni lile lile
 
Mkuu hizi memory card ni corrupt hivi au simu wanadanganya chukua hyo card icheki kwenye kompyuta utajua shusha memory ya chini. Mie hlo tatzo lilinikumba ila kwa sasa npo vzr mkuu
 
Nitatafuta ya 4gb niangile mkuu
 
Simu ninayotumia i aeza ikajibadili audio profile yenyewe na nimezima economy au power save. Shida itakua nini apo?? Natumia Tecno phantom Z/au A7
 
mi nahisi huwa unapunguza au kuongeza call voice kwa kutumia zile button za pembeni.
ukipunguza sana inaweza au kuongeza sana inaweza ikabadili audio prifile.
 
Mkuu media nimehamisha ila
1. Picha/video hazionekani tena (kama vile hazipo kabisa)
2. Bado internal memery bado inasoma kuna nafasi imechukukiwa na photos & video
View attachment 244811

ndio maana nikakwambia tumia file manager (au pc) fungua folder moja baada ya jengine. mafolder maarufu ni kama

-DCIM-hili hukaa picha ulizopiga na camera
-downloads-vitu ulivyodownload
-whatsapp/media-utakuta vitu vingi vya whatsapp

na hapo kwenye other huwenda na system files lakini pia angalia kama kuna mafile umedownload ambayo simu haiyatambui mfano software za pc ulizotumia

kama una ucweb usisahau kuangalia ucdownload

kama una app nyengine ya kudownloadia angalia folder lake.

hapo utaweza free gb kadhaa maana apps zako si nyingi sana
 
Kingine memory card yangu ni 8gb sijaingiza vitu vingi ila imejaa niinguie wapi kufuta visivyo hitajika

nenda playstore search es file explorer. fungua mafolder yote ya kwenye memory card kuangalia mafile yaliyomo.

ukiweza kutumia file manager kwenye android effectively inasolve almost 50% ya matatizo yote ya simu
 
ndio maana nikakwambia tumia file manager (au pc) fungua folder moja baada ya jengine. mafolder maarufu ni kama

-DCIM-hili hukaa picha ulizopiga na camera
-downloads-vitu ulivyodownload
-whatsapp/media-utakuta vitu vingi vya whatsapp

na hapo kwenye other huwenda na system files lakini pia angalia kama kuna mafile umedownload ambayo simu haiyatambui mfano software za pc ulizotumia

kama una ucweb usisahau kuangalia ucdownload

kama una app nyengine ya kudownloadia angalia folder lake.

hapo utaweza free gb kadhaa maana apps zako si nyingi sana

Nimekusoma chief
 
nenda playstore search es file explorer. fungua mafolder yote ya kwenye memory card kuangalia mafile yaliyomo.

ukiweza kutumia file manager kwenye android effectively inasolve almost 50% ya matatizo yote ya simu

Kaka nimeona sasa nitajuaje LA kutoa ili memory yangu iwenanafasi
 
kaka la kutoa ni wewe mwenyewe ujue file gani unalitaka na lipi hulitaki. lipi linakula nafasi kubwa na lipi nafasi ndogo mimi sijui vilivyomo kwenye memory card yako
 
Kaka nimeona sasa nitajuaje LA kutoa ili memory yangu iwenanafasi

pia unaweza kutafuta folder linaloitwa DCIM, . . .lifungue na utafute sub-folder linaitwa THUMBNAILS..ikilipata liselect na ulifute. . .litajitengeneza jingine hivyo usihofu.fanya hivyo na kwenye internal memory
 
Play store haifanyikazi. Niliwahii uninstall nilipoirudisha ndo ikawa inagoma kufunguka.
 
Natumia VEGA 6 wakuu but camera yenye 13M yake inasumbua kwan unaweza kupiga pics ikajizima bila sababu na tatizo jingine ni kuwa, huwa inadisplay maneno haya "google play store stopped" then inasimama kwa muda hadi uki-click ok ndo inaoparate tena km kawaida. MSAADA WENU TAFADHALI WAKUU
 
Back
Top Bottom