Recent content by homegain

  1. H

    Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

    nikupe hongera nyingi kwa uthubutu na moyo wa kupambana kwa kusimamia kile unachokiamini bila kujali ugumu wa njia uliyopitia.
  2. H

    Njia ya kuongeza kipato: Kilimo cha pilipili kichaa kinavyoweza kumfaidisha kijana wa Kitanzania

    Kwa tz ni maeneo gani ambayo nikilima kampuni/wanunuzi watafika kununua mazao au popote ndani ya tz au ni jukumu la mkulima kusafirisha mazao yake
  3. H

    Serikali (NIDA) imefeli vibaya mno suala la vitambulisho vya taifa; kusubiri zaidi ya mwaka, vitambulisho vinapotea haviwafikii walengwa!

    Sasa nikawa najiuliza hivi mbona sehemu ya kulipia shilingi 100 haikupeleki kwenye njia ya kulipia ( mpesa, tigo pesa, au muda wa maongezi).******** weka muda wa maongezi unaozidi sh 100 na sio tigo wala m pesa it is workable. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    Ewe Mume, msaidizi wako anakutafuta

    Mimi nina mtoto, mengine yote sio kikwazo
  5. H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii ni kampuni gani ya betting
  6. H

    Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Wewe ndo kilaza unaefikiri kuna mwanajeshi atakulegeza miguu ukiingia kwenye eneo lake la ulinzi. Kwanza hakuna mwanajeshi duniani aliyefundishwa kulenga miguu. Tahadhari pekee ni risasi moja hewani kama hukutoa ushirikiano wakati wa mahojiano au ukipewa na kukaidi.
  7. H

    Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Kama hujui kitu kaa kimya utaonekana na busara, we hata adui hujaweza kumfaham halafu unataka kuwafundisha watu wenye professional zao nin cha kufanya. Unajua Ulinzi upo kwenye zone ngap? Unajua kuanzia umbali gani mtu/adui anaanza kuhojiwa, kupewa tahadhari, kuonywa, kuchukuliwa hatua na aina...
  8. H

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Huyu ni mvuvi, ndani ya maji samaki ni wachache na wanapatikana kwa tabu na kwa kuhatarisha na wakati mwingine kujeruhiwa na viumbe/wanyama hatari lkn mtu aliyoko juu anaetakiwa kukusaidia anafikiri unapata sana hivyo anaendelea kukukandamiza zaid badala ya kutoa msaada *mpina vs uvuvi* kwa...
  9. H

    Rais Magufuli vs JPM: yatosha sasa, ifike mahali Rais Magufuli awe mwungwana

    Hebu tuliza munkari kidogo, soma hizo nukuu mbili vizuri na uzielewe, ya kwanza anaongelea fedha zilizokuwa zikitengwa kwa ajili ya mishahara kwa mwezi na nukuu ya pili ni fedha ambazo serikali ulikua ikipoteza kwa kulipa mishahara hewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. H

    Dark arts za intellijensia na utata wa kifo cha jasusi

    Kumuondoa jasusi mbobezi unahitaji specialized pers to excute that msn, na jasusi anapokua kwenye hatari ya kuuwawa mara nyingi sana ajua nini kinaendelea kutokana na kosa alilofanya, coz adui wa jasusi ni jasusi mwenzie hakuna mtu asiye na taaluma hiyo ambae anaweza hata kuhisi tu kuwa adui...
  11. H

    Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

    Asiependa kula Nini ? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. H

    Nahitaji display/kioo ya simu Samsung Galaxy A8 ya 2016

    Mimi ninacho used bei 250k hakina tatizo kabisa cm ilikufa charging system nikanunua nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  13. H

    Tetesi: Mh mkuu wa JKT,45 wa JKT ni wizi mtupu,wameachwa wenye vigezo

    Kuwa yatima sio kigezo wala kipaombele cha kujiunga na jkt pili jkt sio ajira boy keep trying boy dont give up the fight
  14. H

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Congrats for da hard work you went through. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom