Nahitaji display/kioo ya simu Samsung Galaxy A8 ya 2016

Nahitaji display/kioo ya simu Samsung Galaxy A8 ya 2016

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,714
Habari wakuu,

Nahitaji display/kioo ya simu tajwa hapo juu, hii pia hata kwa wale wenye simu ya namna hiyo iliyokufa machine ila vipuri tajwa hapo juu vinafanya kazi.

Mwenye navyo tuwasiliane PM.

Samsung-Galaxy-A8-2016.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom