Ndugu.. Nikupe taarifa kidogo
[emoji117]Unapoamua kutafuta haki Na kupinga udhalimu -Huna budi kujali kuhusu majeraha Na kifo..
[emoji117]Wapigania haki,kifo Na majeraha kwao ndio matokeo.
Habari Wana Jf.
Najua wengi wetu tupo juu ya majonzi mazito juu ya kuondokewa na mwanafunzi wa chuo cha NIT Miss-Aquilina Na majeruhi wengine waliopata dhoruba katika pilika pilika za kutetea haki za kikatiba na zakibinadamu.
[emoji117]Ila ndgu zangu Wantanzania/Wana JF tunatakiwa...
Katika Hali isiyo ya kawaida kwa kamanda mwenye uzoefu Na kazi yake..
Akizunguza Na MCL DIGITAL Leo trh 17.febr 2018 kamanda WA polisi,Mambosa [emoji117]amesema kuwa polisi walitumia risasi za moto katika kuwatawanya wanachama WA Upizani baada ya kuandamana.,[emoji117]amesema polisi walipiga...
Ni matumaini yangu wazima kabsa wadau WA JF.
Katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii hususan instagram..nimekutana picha za mwanadada WA kiganda ambaye pia Ni shemeji yetu( Zarina Hassan) al-maarufu kama zari the boss.picha kikweli Ni nzuri Na ametokelezea sna....ila pembeni Kuna...
Yesu...alisema sikuja kutengua hata nukta....maana yalioandikwa kwenye vitabu vyote Yesu anayabariki maana hta yy ni mtume tu...hakuwa na mamlaka ya kutengua tolati.
Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO...
Habari Wana JF....Leo Katika pitapita yangu Katika Mtandao wa kijamii Instagram...nimekuta na KAULI ya mh.Nape Mb.wa jimbo la Mtama..
Mh.apost picha nakuandika KAULI **Wakinizingua Mara Paaap!!**
Hapa wajuzi wa kuchambua mtupe maana kamili ya haya maneno
Pengine Nape Anataka kuyaishi na kufanyia...
Katika hali ya kuwakatisha tamaa watumishi wa Umma waliochoka kusikia Matamshi bila vitendo, Leo tena ameibuka Mh. Angellah Kairuki bungeni alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum Susan Masele, na kusema kuwa nyongeza na upandishaji wa Madaraja kwa Watumishi uliathiriwa na Vyeti feki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.