Je Zari The bossylady kweli Ni Freemason??

Jan 29, 2017
61
125
Ni matumaini yangu wazima kabsa wadau WA JF.
Katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii hususan instagram..nimekutana picha za mwanadada WA kiganda ambaye pia Ni shemeji yetu( Zarina Hassan) al-maarufu kama zari the boss.picha kikweli Ni nzuri Na ametokelezea sna....ila pembeni Kuna alama ya fuvu LA mtu....hii Ki ukweli sikuelewa maana ya alama hii kuwa ndani ya ofsi yake. Alama hii huwa Mara nyingi inahusishwa Na alama ya Freemason...Sasa naomba kutolewa utata hapa,kuwa Ni kweli zari the boss anawezakuwa muumin WA freemason??
sketch-1512992780192.jpg
sketch-1512992557662.jpg
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,075
2,000
Ni matumaini yangu wazima kabsa wadau WA JF.
Katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii hususan instagram..nimekutana picha za mwanadada WA kiganda ambaye pia Ni shemeji yetu( Zarina Hassan) al-maarufu kama zari the boss.picha kikweli Ni nzuri Na ametokelezea sna....ila pembeni Kuna alama ya fuvu LA mtu....hii Ki ukweli sikuelewa maana ya alama hii kuwa ndani ya ofsi yake. Alama hii huwa Mara nyingi inahusishwa Na alama ya Freemason...Sasa naomba kutolewa utata hapa,kuwa Ni kweli zari the boss anawezakuwa muumin WA freemason?? View attachment 650104 View attachment 650105
Hakuna lolote ni mapambo kama mapambo mengine.
Wengine hadi hujipiga tatoo mwilini.
Freemasons wapo ila siyo kama story zilizogaa mitaani hadi eti mganga toka kigoma anatoa majini na kuunga freemasons
 

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,582
2,000
Kuna. Vitu watu wanafanya makusudi ili muwaongelee kama hivi

Na kwanini atufanyie? Kwa faida gani atakayopata?
Hawa watu wamazingira ayo hawaaminiki hata kidogo. Mtu akifikia stage ya kutoa utu wake ili apate kitu tena cha kipuuzi tu anaweza kufanya lolote uyo.
Wasanii wengi ni ma freemason na hasa kwa sasa zaidi afrika sahivi ndo wanajaa hasa.
Wengi wetu tunalichukulia kiulaini kabisa lakini izo habari ni zaukweli wakuu.
 

Chachasteven

JF-Expert Member
Jul 4, 2014
1,746
2,000
Hio sio ofisi ya Zari ni ofisi ya WCB (Diamond)...Kuhusu swala la fuvu kuhusishwa na freemasons sidhani kama ni sahihi!!Hilo ni pambo kama mapambo mengine tu mkuu....
 

Singo

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,075
2,000
Hata akiwa freemason wewe unaathirika vipi? Wewe jali maisha yako na unachokiamini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom