Watanzania tujiulize, ile risasi iliompiga Aquilina ilimlenga nani haswa??

Jan 29, 2017
61
66
Habari Wana Jf.

Najua wengi wetu tupo juu ya majonzi mazito juu ya kuondokewa na mwanafunzi wa chuo cha NIT Miss-Aquilina Na majeruhi wengine waliopata dhoruba katika pilika pilika za kutetea haki za kikatiba na zakibinadamu.

Ila ndgu zangu Wantanzania/Wana JF tunatakiwa kujiuliza,kuwa Ile risasi iliompiga mtanzania wenzetu asiye Na hatia ilimlenga nani haswa?

Mimi kwa fikra zangu nafikiri hii lisasi ilimlenga mtu aliyekuwa kwenye Maandamano lakini Mungu si Athumani, akaiepusha hiyo risasi Na kwa bahati mbaya ikaenda kumpata Aquilina.

Tanzania Ni nchi ya Amani sna tunaomba jeshi la polisi liwe makini sna kuilinda tunu hii tuliochiwa Na waasisi wa Taifa letu.
@
Damu hizi zikiendelea kumwagika Taifa halitakuwa salama hata kidogo..
Naililia Tanzania ya Amani
R.I.P Miss-Aquilina

sketch-1518942276522.jpg
 
Kifo cha binti huyu kimenifundisha yafuatayo:
1. Kumbe kufikiria kuwa siasa hazikuhusu, hivyo ukaamua ukae kimya, usifanye chochote pia hakusaidii?

2. Kumbe kuona mambo yakivurugwa ukakaa pembeni ukasema sitaki kujihusisha nisije nikapoteza hiki ama kile kunaweza kusiwe sahihi?

3. Kumbe lolote linalotendwa nchini linaweza kukuumiza hata kama haulijui? Huyu binti si ajabu wala hakujua kuna patashika iliyokuwa inaendelea..

4. Kumbe kukaa kimya na kuacha yasiyofaa yakiendelea siyo guarantee...

5. Kumbe unaweza kula janga hata bila kumjua aliyelichuma??..

Pumzika kwa amani Akwilina...

Copy and paste
 
Habari Wana Jf.
=====================================
Najua wengi wetu tupo juu ya majonzi mazito juu ya kuondokewa Na mwanafunzi WA chuo cha NIT Miss-Aquilina Na majeruhi wengine waliopata dhoruba katika pilika pilika za kutetea haki za kikatiba Na zakibinadamu.
=====================================
Ila ndgu zangu Wantanzania/Wana Jf tunatakiwa kujiuliza,kuwa Ile risasi iliompiga mtanzania wenzetu asiye Na hatia ilimlenga nani haswa?
Mimi kwa fikra zangu nafikiri hii lisasi ilimlenga Mtu aliyekuwa kwenye Maandamano lakini *Mungu Si Athumani,akaiepusha hiyo risasi Na kwa bahati mbaya ikaenda kumpata Aquilina.
=====================================
Tanzania Ni nchi ya Amani sna tunaomba jeshi LA polisi liwe makini sna kuilinda tunu hii tuliochiwa Na waasisi WA Taifa letu.
@
Damu hizi zikiendelea kumwagika Taifa halitakuwa salama hata kidogo..
[HASHTAG]#Naililia[/HASHTAG] Tanzania ya Amani#
#R.I.P Miss-Aquilina#
=====================================
View attachment 697398
Iyo ilimlenga Mbowe
 
Wanasema walipiga hewani halafu ikarudi chini na kumuua yule binti ishiii yaani wanatufanya sisi wote watanzania hatujui tabia za risasi, risasi ikipigwa juu inaungua mpaka inabaki majivu na kupotea
 
Kifo cha binti huyu kimenifundisha yafuatayo:
1. Kumbe kufikiria kuwa siasa hazikuhusu, hivyo ukaamua ukae kimya, usifanye chochote pia hakusaidii?

2. Kumbe kuona mambo yakivurugwa ukakaa pembeni ukasema sitaki kujihusisha nisije nikapoteza hiki ama kile kunaweza kusiwe sahihi?

3. Kumbe lolote linalotendwa nchini linaweza kukuumiza hata kama haulijui? Huyu binti si ajabu wala hakujua kuna patashika iliyokuwa inaendelea..

4. Kumbe kukaa kimya na kuacha yasiyofaa yakiendelea siyo guarantee...

5. Kumbe unaweza kula janga hata bila kumjua aliyelichuma??..

Pumzika kwa amani Akwilina...

Copy and paste
Kweli kabisa ndugu....
Kuna msemo unasema matatizo katika dunia hii yanatokea sababu ya ukimya wa watu wnye uwezo na akili wa kuyaepusha...on the otherside wanaachiwa wajinga na wa..p.mbavu kurun show
 
Ilitabiliwa tutafikishwa huku sasa tungoje mizimu na waona huruma watuonee kwa maana hatuwezi simama kwa miguu yetu mbele atatuvuta nani.eneza hofu utawale kwa raha Mbinu zikizotumika miaka 300 ikiyopita kwa sasa utaiona kwenye season tu
 
mi najiuliza je marehemu alifata nini juu ya anga au alitaka kwenda kusoma mwezini

inachekesha kitaifa lkn inauma sasa

majibu mepesi kabisa

wanataka kumuoji mbowe utazani nae alikuwa na smg.
 
walipiga juu kwa bahati mbaya ikampata mtu, sasa swali linabaki je mtu huyo alikuwa juu angani?.....hatari sana nchini
 
Kifo cha binti huyu kimenifundisha yafuatayo:
1. Kumbe kufikiria kuwa siasa hazikuhusu, hivyo ukaamua ukae kimya, usifanye chochote pia hakusaidii?

2. Kumbe kuona mambo yakivurugwa ukakaa pembeni ukasema sitaki kujihusisha nisije nikapoteza hiki ama kile kunaweza kusiwe sahihi?

3. Kumbe lolote linalotendwa nchini linaweza kukuumiza hata kama haulijui? Huyu binti si ajabu wala hakujua kuna patashika iliyokuwa inaendelea..

4. Kumbe kukaa kimya na kuacha yasiyofaa yakiendelea siyo guarantee...

5. Kumbe unaweza kula janga hata bila kumjua aliyelichuma??..

Pumzika kwa amani Akwilina...

Copy and paste

Umenigusa sana,ukute binti wawatu akijisemeaga " sitaki mambo ya siasa mimi nimetumwa kusoma niikomboe familia yangu maskini"so sad siasa za awamu hii Mungu pekee ndo anajua
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom