Zanika
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,316
- 752
Inahusiana vipi?Muongezee buku 7 nyingine Pole pole

CHADEMA gizani....walishapoteza muelekeo siku nyingi....sasa hivi wamebaki na UKUNGURU TU!Law Society of Kenya condemns Uhuru’s threatening remarks on judges
Haya yamefanywa na anayeungwa mkono na wapinzani hapa TZ wakimsifu kuwa ni Baba wa Democracy EA.
Cha kushangaza zaidi si TLS hapa kwetu wako kimia katika hili.
Hata Chadema nao kimia huku wakitumia nguvu kubwa kupayuka walkipiga Selfie kwa vicheko bila aibu huko Kenya ambako pia wameonekana wakipewa Airtime za Television na kutumia kupaka matope Nchi yao. Aidha kutumika tena kumpigia debe mtoa vitisho huyu ashinde tena Urais na pengine kwa njia ile ile ya "Cambridge Analytical Data"
TLS mnatuambia nini kuhusu hili la Raisi wa Kenya kutoa vitisho dhidi ya Mhimili wa Mahakama?
Chadema na nyinyi vip?
Ni bora hao Kenya raisi katoa vitisho na watu wamempinga na hakuna aliyewakamata wapingaji wa tamko la raisi wala kupigwa risasi. Hiyo ndiyo demokrasia - kupingana kwa hoja.Law Society of Kenya condemns Uhuru’s threatening remarks on judges
Haya yamefanywa na anayeungwa mkono na wapinzani hapa Tanzania wakimsifu kuwa ni Baba wa Democracy EA.
Cha kushangaza zaidi si TLS hapa kwetu wako kimya katika hili.
Hata CHADEMA nao kimya huku wakitumia nguvu kubwa kupayuka wakipiga Selfie kwa vicheko bila aibu huko Kenya ambako pia wameonekana wakipewa Airtime za Television na kutumia kupaka matope Nchi yao. Aidha kutumika tena kumpigia debe mtoa vitisho huyu ashinde tena Urais na pengine kwa njia ile ile ya "Cambridge Analytical Data"
TLS mnatuambia nini kuhusu hili la Raisi wa Kenya kutoa vitisho dhidi ya Mhimili wa Mahakama?
CHADEMA na nyinyi vipi?
Ni kwamba si kila jambo la nchi jirani lazma Cdm itoe tamko....mda mwingine huwezi kuingilia mambo ya ndani ya nchi ambayo si yetuLaw Society of Kenya condemns Uhuru’s threatening remarks on judges
Haya yamefanywa na anayeungwa mkono na wapinzani hapa Tanzania wakimsifu kuwa ni Baba wa Democracy EA.
Cha kushangaza zaidi si TLS hapa kwetu wako kimya katika hili.
Hata CHADEMA nao kimya huku wakitumia nguvu kubwa kupayuka wakipiga Selfie kwa vicheko bila aibu huko Kenya ambako pia wameonekana wakipewa Airtime za Television na kutumia kupaka matope Nchi yao. Aidha kutumika tena kumpigia debe mtoa vitisho huyu ashinde tena Urais na pengine kwa njia ile ile ya "Cambridge Analytical Data"
TLS mnatuambia nini kuhusu hili la Raisi wa Kenya kutoa vitisho dhidi ya Mhimili wa Mahakama?
CHADEMA na nyinyi vipi?
Jibu hoja!Ni bora hao Kenya raisi katoa vitisho na watu wamempinga na hakuna aliyewakamata wapingaji wa tamko la raisi wala kupigwa risasi. Hiyo ndiyo demokrasia - kupingana kwa hoja.
Hapa kwetu ukipinga kauli ya raisi unajua ni kitu gani kitakupata? Watu wasiojulikana unawajua? Nisan nyeupe unazijua?
Hamuwezi mnyooshea kidole anayewafadhili hadi mnageuka wapiga debe wakeNi kwamba si kila jambo la nchi jirani lazma Cdm itoe tamko....mda mwingine huwezi kuingilia mambo ya ndani ya nchi ambayo si yetu
.
Law Society of Kenya condemns Uhuru’s threatening remarks on judges
Haya yamefanywa na anayeungwa mkono na wapinzani hapa Tanzania wakimsifu kuwa ni Baba wa Democracy EA.
Cha kushangaza zaidi si TLS hapa kwetu wako kimya katika hili.
Hata CHADEMA nao kimya huku wakitumia nguvu kubwa kupayuka wakipiga Selfie kwa vicheko bila aibu huko Kenya ambako pia wameonekana wakipewa Airtime za Television na kutumia kupaka matope Nchi yao. Aidha kutumika tena kumpigia debe mtoa vitisho huyu ashinde tena Urais na pengine kwa njia ile ile ya "Cambridge Analytical Data"
TLS mnatuambia nini kuhusu hili la Raisi wa Kenya kutoa vitisho dhidi ya Mhimili wa Mahakama?
CHADEMA na nyinyi vipi?
has it been confirmed??: who are watu wasiojulikana?Ni bora hao Kenya raisi katoa vitisho na watu wamempinga na hakuna aliyewakamata wapingaji wa tamko la raisi wala kupigwa risasi. Hiyo ndiyo demokrasia - kupingana kwa hoja.
Hapa kwetu ukipinga kauli ya raisi unajua ni kitu gani kitakupata? Watu wasiojulikana unawajua? Nisan nyeupe unazijua?
Haitatokea, watakua wamejilaumu, au wamejishutumu wenyewe, impossible!Law Society of Kenya condemns Uhuru’s threatening remarks on judges
Haya yamefanywa na anayeungwa mkono na wapinzani hapa Tanzania wakimsifu kuwa ni Baba wa Democracy EA.
Cha kushangaza zaidi si TLS hapa kwetu wako kimya katika hili.
Hata CHADEMA nao kimya huku wakitumia nguvu kubwa kupayuka wakipiga Selfie kwa vicheko bila aibu huko Kenya ambako pia wameonekana wakipewa Airtime za Television na kutumia kupaka matope Nchi yao. Aidha kutumika tena kumpigia debe mtoa vitisho huyu ashinde tena Urais na pengine kwa njia ile ile ya "Cambridge Analytical Data"
TLS mnatuambia nini kuhusu hili la Raisi wa Kenya kutoa vitisho dhidi ya Mhimili wa Mahakama?
CHADEMA na nyinyi vipi?
Samahani naomba kuuliza, unatumia nini kufikiria? Maana ubongo wa kawaida wa mwanadamu hauwezi kutoa hiki ulichokiandika.Law Society of Kenya condemns Uhuru’s threatening remarks on judges