Recent content by His Eminence

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tyre cover

    n enda kwenye kampuni inayoprint(banners)mwbango,watakutengenezea size unayotaka na picha unaweza weka hata ya shemeji,au mama mzazi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakazi kuiba

    hongera sana ,na Ahsante..Haya ndo mambo yakupost siyo kila siku uchawi,mpira ,kataa ndoa ujingaujinga tu,tunajikuta Dunia inatuacha..Hongera kamanda nitarajie mteja wako🤝👏💪✅
  3. H

    JamiiForums Tanzania Sehemu za siri za maiti ya mama mjamzito na matumizi yake katika ulozi

    aisee kabila ulikuwa unaishi kwa nani?au maeneo ya mnadani kule galayani?nambie Mzee wa ndagalu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya leo

    1. Kain Alimuoa Nani na Alizaa na Nani? Biblia (Mwanzo 4:17) inasema kwamba Kain alimudu mke wake, naye akazaa Henoki, na kwamba Kain alijenga mji. Hata hivyo, Biblia haimtaji kwa jina mke wa Kain wala asili yake. Kulingana na maandiko, Adamu na Hawa ndio walikuwa watu wa kwanza (Mwanzo 1:27...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Kama unafanya masturbation acha mara moja..💉
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Omba Yesu Kristo akutumie Roho Mtakatifu,akujaze Hekima na ufahamu mengine utaona yanajiset yenyewe.
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    utapigwa uachwe,Mimi wote walioninyima kipindi cha nyuma nimekuja kuwapiga ukubwani nikiwa na hela,hakuna crush wangu niliyemuacha salama.Na waliooa kwetu wote nimewapigia Dada zo ili Ngoma iwe droo,ukiniita Shem inakuwa fair kabisa😁
  8. H

    JamiiForums Tanzania Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

    sana,mtz hajafundishwa kushukuru kwa kile kilichopatikana,utampa kila kitu Bado atatafuta kasoro,no wonder hata kufanikiwa inakuwa ngumu sana..
  9. H

    JamiiForums Tanzania NGARA ni Tanzania ama?

    upeo mdogo sana wa kufikiri,ikiwepo na kutoijua historia ya maeneo husika,rejea video ya Prof kabudi akielezea haya.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

    Hongera sana Mama Dr Samia,nakumbuka mwaka 2009 nilikuwa na project huko,barabara zilikuwa mbovu,kutekwa nnjennje.halafu wabongo ni kuponda kila kitu.Mimi binafsi Mitano tena kwa Mama samia
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mimba bandia zaingia nchini

    aah wapi,Huwa tunaangalia shingoni😁
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mahali wanakopatikana mbuzi kwa wingi

    mkuu tuwasiliane basi,nahitaji sana
  13. H

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu wa kaya Naomba Ushauri juu ya uchimbaji wa Dhahabu

    chukua codes za eneo,nenda madini ufatilie kama Kuna leseni ama hakuna omba leseni gharama 50k processing fee kwa leseni Moja,crge za leseni ni 90k kwa hector,kama eneo watakupimia 10 hectors unalipia 900,000/ mambo mengine ya kuzingatia ni eneo Lina watu inabidi kuongea nao uwape share ama...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kuuliza ndiyo kujifunza nisaidieni hili swali mliokwisha fika nchi za wazungu

    zipo tayari,Land cruiser Mrema, Harrier Matako ya nyani,Scania Mende,Hilux dungu,
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji Visima katika Mikoa yote

    nipo mara Serengeti,huku mita zinaweza fika ngapi?
Back
Top Bottom