Mahali wanakopatikana mbuzi kwa wingi

Mahali wanakopatikana mbuzi kwa wingi

Nina uhakika na ninachomwambia, labda kama anataka kuwa mchoma nyama au muuza supu sawa..ww ndie huelewi chochote hapo!
Wabongo nuksi.

Nilitegemea ungetoa maelezo yakinifu kwamba kwanini unasema sio rahisi ..sio rahis umeishia hapo kana kwamba wew ndio unajua kila kitu .
 
Kama una mtaji wa kutosha nenda Kibondo soko la ujirani kuna mbuzi wengi wanakosa wanunuzi.

Kama umewania kufanya biashara hiyo, karibu PM kwa details kamili na contact person. 🙏
mkuu tuwasiliane basi,nahitaji sana
 
Mkuu ukijipanga nunua mbuzi jike wale wa uzao wa mapacha ukipata mbuzi 200 wa kuanzia nao na dume 30 Hao ukitulia nao vizuri miaka 3 Bila kuuza hata mmoja utakuja kunishukuru!
 
Back
Top Bottom