Recent content by hiakaman

  1. H

    Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

    Wote hao ni viongozi wazuri, wanauzoevu, kwa mfano Mhe. L alipokuwa Waxiri alisisimamia kwa makini vizuri baadhi ya mipango mizuri ambayo iliachwa na awamu ya tatu, ikiwemo ujenzi wa shule za sekondari za kata, na mengine mengi, Pia na huyu Mh. mwingine naye kupumbuka ni mchapa kazi, kupunguka...
  2. H

    Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

    kwani anamuzia asigombee, wote ni viongozi wazuri, wazoefu, kikubwa tupate viongozi wazuri, kwa ajili ya maendeleo, upendo na amani ya nchi yetu, ubaguzi haufai "yeyote atakayechaguliwa atafaa kuwa kiongozi"
  3. H

    Huyu dogo anaomba ushauri hizi max atapata mkopo?

    Convertion i uwe unasoma usiseme bila kusoma, D(2014)=E(2013)=1, E(2014)= S(2013)=0.5, HIVYO ANAWEZA KUPATA ADMISSION MAANA ANA PRINCIP ZENYE 2, ILA MKOPO LABDA AMUOMBE MAURANA. NAJUA NI WEWE MWENYEWE SIO MDOGO WAKO POLE SANA NDUGU, USIKATE TAMAA TRY
  4. H

    CAF Champions League

    Uzalendo kwanza, yanga inashinda
  5. H

    Wizara ya elimu: Ufafanuzi kuhusu habari iliyoandikwa katika gazeti la nipashe la tarehe 05 agosti

    Mwandishi amechemka vibaya mno, inatakiwa kufanya uchunguzi kwanza, sio kukurupuka tu
  6. H

    Nilijua nimeshatoka...

    Kwa upande wangu kwanza nakupa pole kijana. Pia napenda kuungana na Mr. Mbumbumbu na comment yake nzuri sana ingawa sijui kwanini anajiita mbumbumbu. Kwenye usaili kikubwa ni ujasiri, relaxing, na umakini. NAKUTAKIA SAFARI NJEMA UTAFANIKIWA KAKA. PAMOJA
  7. H

    Waliofanya Interview Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa/Nachingwea tujuzane

    Samahani kwa usumbufu " mzee wa njaa" mtatoa kwa kukadilia baada ya wiki ngapi? Asanteni
  8. H

    Majibu ya Wrritten Interview Secretariat ya Ajira -19th April 2012

    Wana JF, Mwenye habari juu ya kuitwa kwenye oral interview, wameanza kupiga simu?
  9. H

    Ruangwa

    tembelea sana, www.ajira.go.tz Kuna section call for interview
  10. H

    nahitaji Marketing personel kumi changamkieni......

    Jamani acheni ukilaza, huko chuo waliwafundisha kumeza? sio kuelewa? Shukuru kwa information alizowapa. Jina lake ni: Kama 2 Equevalent to 4 3 Equevalent to 6 info@azaniabank.com equevalent to Azania Bank na www.azaniabank.com JE info@emiratealuminium.com equevalent to...
  11. H

    wapi kazi za Ba in History?

    Wabongo fungukeni akili, acheni utoto, acheni kukopi. Nani kasema history haina application? Nyinyi wenye mawazo madogo pamoja na serikali yenu inayo copy sera toka marekani bila kuwa na historia ya malekani. Nataka ni wambie historia ni muhimu. kwanza kama hamjui inahusu mambo yalio pita...
  12. H

    MICHUZI ANAWABEZA WASOMI; Hivi anajua kweli anachoandika????

    Tanzania ina wasomi na watalaam wengi sana ambao wangeweza kuisadia inchi, chanzo cha vikwazo ni shamba la bibi ambalo kila mtu anataka avune halaka halaka, hivyo basi siasa ndio chanzo, siasa imewafanya wataalaam, wasomi kuwa wanafiki wanaishauri serikili kile inachokitaka ili kuifurahisha...
  13. H

    wa mabondeni leo kama jana!!!!!

    Kuna uhusiano gani kati ya hili jukwaa la kazi na mvua? Au unataka kuzungumzia vibarua vinavyotokea kukiwa na mafuriko? kama vip wafuate wenzako kwenye majukwaa ya siasa n.k
  14. H

    Kujuzwa Habari Kuhusu Post za Secretariet ya Ajira

    Ndugu zangu mambo vipi? Vipi Secretariet ya ajira wameita? zile za mwisho kutangazwa, ambazo zilikwepo za tandahimba
Back
Top Bottom