Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

Kweli mazee cc wengine tupo vijijini hatuoni azam n i wish to know the results
 
kuna tukio limetokea uwanjani sijui ilikua muda gani lakini wamefanya replay ameoneka kipa wa yanga amefukia kitu gorini kwake baadae akaonekana mchezaji wa ely ahaly akikitafuta kitu hicho. Inawezekana walikipata ndo goli likaingia
 
Kaka kweli?
 
Mabomu ya machozi nasikia yanapigwa nje ya uwanja kuwatawanya mashabiki
 
Back
Top Bottom