nahitaji Marketing personel kumi changamkieni...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nahitaji Marketing personel kumi changamkieni......

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by maishapopote, Mar 22, 2012.

 1. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  wadau kuna mahali wanahitaji marketing officer nane,
  uwe na experience ya angalau miaka 2 au graduate wa chuo,
  uwe na uwezo wa kujieleza kiswahili na kiingereza,

  Tuma maombi kwenye:

  info@emiratealuminium.com
   
 2. korino

  korino JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  hata jina la kampuni basi hujaeka ndugu,,,haya
   
 3. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,345
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  mbona hujatoa maelezo ya kutosha
   
 4. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Acha kuwarusha watu roho we toa jina la kampuni, mkoa na hata maelezo kidogo ya qualification si kukuruka tu kiasi hiki.
   
 5. h

  hiakaman Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Si useme unaitaji wauza maduka!
  Unaitaji graduate kukaa dukani kweli?
   
 7. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu,
  sio kila kitu kutafuniwa jamani...ndo maana wakenya wanatusumbua heb tuchangamke...
   
 8. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Ahsante kaka.
   
Loading...