Ruangwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ruangwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by gkipps, Mar 25, 2012.

 1. g

  gkipps Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani,zile nafasi za halmashauri ya wilaya ya ruangwa zilizotangazwa na utumishi walishaita watu kwenye usaili?
   
 2. frank lujaju

  frank lujaju Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado ,kumbuka kufuatilia website ya wizara ya utumishi,wakiita lazima waanike wazi mm pia niliomba kila siku nafuatilia bado hawajaita tuvute subira
   
 3. m

  majogajo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nape anakujua?
   
 4. h

  hiakaman Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tembelea sana, www.ajira.go.tz Kuna section call for interview

   
 5. C

  Chief G Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafasi zilishatoka kitambo na watu walishaitwa kazini. Kati ya watu 5 watano walioiwa, ni mmoja tu ameripoti kwan watu wanakasumba kuwa kusini hakufai kuishi.
   
 6. C

  Chief G Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Mr selerine upo kweli? Mbona tangu pale magereza resort sikusikii tena?
   
Loading...