MICHUZI ANAWABEZA WASOMI; Hivi anajua kweli anachoandika????

Josephine03

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
752
302
Nimekuta mtu kamnukuu mwanamakala kutoka Michuzi Blog akiwa ameipa kichwa cha habari watanzania wasomi ndio tatizo la nchi yetu.na kutoa sababu ni

1. Tunalalamika sana
2. Tunapenda kuajiriwa " Civil Service na perdiem mentality"

Mawazo yangu kuna usemi unaosema maskini akipata ****** ulia mbwata. Simfahamu Michuzi namsikiaga na kumuonaga akipiga picha. Ujuzi wa kutumia kalamu ktk kuwashauri watu au kuielezea jamii fulani ameupata wapi??? Je anaelewa kama kunamaneno mengine ukiyatumia sipo yanaleta maana ya matusi kama sio kejeli na dharau? Wana JF mnisaidie kwahili........ NAWAKILISHA
 
tuchangie nini hapo wakati umeshamaliza kila kitu kuwa maskiniakipata ****** hulia mbwata
 
Nimekuta mtu kamnukuu mwanamakala kutoka Michuzi Blog akiwa ameipa kichwa cha habari watanzania wasomi ndio tatizo la nchi yetu.na kutoa sababu ni

1. Tunalalamika sana
2. Tunapenda kuajiriwa " Civil Service na perdiem mentality"

Mawazo yangu kuna usemi unaosema maskini akipata ****** ulia mbwata. Simfahamu Michuzi namsikiaga na kumuonaga akipiga picha. Ujuzi wa kutumia kalamu ktk kuwashauri watu au kuielezea jamii fulani ameupata wapi??? Je anaelewa kama kunamaneno mengine ukiyatumia sipo yanaleta maana ya matusi kama sio kejeli na dharau? Wana JF mnisaidie kwahili........ NAWAKILISHA
Nahisi Michuzi anaonewa bure kwenye hili suala, yeye amewakilisha tu kilichoandikwa!! Hata hivyo, kilichoandikwa hakina ukweli?
 
Nimekuta mtu kamnukuu mwanamakala kutoka Michuzi Blog akiwa ameipa kichwa cha habari watanzania wasomi ndio tatizo la nchi yetu.na kutoa sababu ni

1. Tunalalamika sana
2. Tunapenda kuajiriwa " Civil Service na perdiem mentality"

1. The so called THINK TANKS wanatufelisha kweli na acha tuambiwe ukweli wasomi wa nchi hii (baadhi). I mean yako majembe machapakazi khaswaa na ndo atleast yanaokolea nyavuni now otherwise tungekuwa marhum kabisa.

2. Huyu mtu (Michuzi) yupo karibu sana na furnace yawezekana anafikisha ujumbe fulani hapa....in trying to think out of the box.........!!!!!!!!!!!

But wanasema samaki mmoja akioza????

Kama tuhuma hizi si kweli then proving them (walioandika) wrong is the only way to end this debate
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
1. Tunalalamika sana
2. Tunapenda kuajiriwa " Civil Service na perdiem mentality"

Yani huyu jamaa anadhani kuwa kupewa kwake kale kakazi kindugu ndio kafika ile mbaya lol!!
 
AMA KWELI MASIKINI AKIPATA MATAk@ hulia mbwata

406513_225679510849066_100002210570795_492266_997683886_n.jpg
 
Kwani yeye anafikiri tatizo ni wasomi au ni siasa sinafanyika kila maali? pia na maslahi ya mlango wa nyuma
 
Ukiona hivyo ujue hakwendaga shule ndo maana anawaponda.
Nimekuta mtu kamnukuu mwanamakala kutoka Michuzi Blog akiwa ameipa kichwa cha habari watanzania wasomi ndio tatizo la nchi yetu.na kutoa sababu ni

1. Tunalalamika sana
2. Tunapenda kuajiriwa " Civil Service na perdiem mentality"

Mawazo yangu kuna usemi unaosema maskini akipata ****** ulia mbwata. Simfahamu Michuzi namsikiaga na kumuonaga akipiga picha. Ujuzi wa kutumia kalamu ktk kuwashauri watu au kuielezea jamii fulani ameupata wapi??? Je anaelewa kama kunamaneno mengine ukiyatumia sipo yanaleta maana ya matusi kama sio kejeli na dharau? Wana JF mnisaidie kwahili........ NAWAKILISHA
 
Ukiachana na suala la Michuzi kusema au kutosema maneno hayo binafsi kwa dhati kabisa naamini kuwa ni kweli wasomi wa nchi hii tunapenda kulalamika na kuajiriwa.
 
Ukiachana na suala la Michuzi kusema au kutosema maneno hayo binafsi kwa dhati kabisa naamini kuwa ni kweli wasomi wa nchi hii tunapenda kulalamika na kuajiriwa.

Unasema haya yote kijana kwasababu kale kanetwork chako kanakupakiburi na kukuweka mjin usingefanikiwa kukagusa ungekuwa uchi, shukuru mungu sana kwa hilo.
 
Ukiachana na suala la Michuzi kusema au kutosema maneno hayo binafsi kwa dhati kabisa naamini kuwa ni kweli wasomi wa nchi hii tunapenda kulalamika na kuajiriwa.

Hapo nilikoweka rangi: wanalalamika kwa sababu ya kutokuwa na kitaji, hakuna taasisi yoyote ya pesa hapa Tz inayoweza kuwapa mitaji labda kama ni mtoto wa kigogo (ambao automatically wanarithishana ajira).

Wenzetu Kenya, Uganda na Rwanda mwanafunzi anapokuwa mwaka wa mwisho - tuseme ni kwenye fani ya kilimo (uzalishaji mifugo, mbegu bora, kilimo cha mboga na maua) yeye anachokuwa anaombea ni kupata hata ekari mbili tu za ardhi. Matokeo yake akisha yapata na amefaulu ataandika business write up na kuipeleka benki yoyote (ambazo ajabu zina matawi yake hapa) na anapewa mkopo bila kuombwa hati ya nyumba, dhamana inakuwa ni business yenyewe.

Huku benki badala ya kukopesha wafanya biashara zinakopesha serikali. KAZI KWELI KWELI
 
I like Michuzi..
Nadhani watu wengine hapa JF mnapenda
kuponda tu bila sababu ...

Haya hapa JF watu wanatoa ushauri kila kukicha na ujuzi huo wanepata wapi. ?

Afadhali hata Michuzi anapiga picha na kusafiri hapa na pale ndo kujifunza huko ..
Si lazima kalamu na karatasi ..

Michuzi keep up .. Great job .

That is his blog .. he can do whatever & whenever .. just like JF we do what we want ..

So get over it ...
 
Mbona yeye kaajiriwa? Angepata wapi ujanja alonao kama siyo ajira ya daily news iliyomweka kujulikana?
 
Tanzania ina wasomi na watalaam wengi sana ambao wangeweza kuisadia inchi, chanzo cha vikwazo ni shamba la bibi ambalo kila mtu anataka avune halaka halaka, hivyo basi siasa ndio chanzo, siasa imewafanya wataalaam, wasomi kuwa wanafiki wanaishauri serikili kile inachokitaka ili kuifurahisha, kwanini wanafanya hivyo ili nao waweze kuvuna shamba la bibi. Kwa nini watalamu wamefikia kufanya hivyo? Kwa sababu mawazo yao ambayo ni ya kweli yanapuzwa. Pia kuhusu wachumi: Ndugu zangu niwakumbushe kwamba mchumi hawezi kufanya nchi isonge mbele bila kuwa na good governance, accountability, responsibility: Swali je kazi ya pccb, mahakama, wanasheria, viongozi wa umma munainoneje? Nani alaumiwe? Mchumi? Aluta continuuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Yeye anajua kusoma na kuandika pia ni msomi,na kaajiliwa.
Unless kama anaongelea usomi wa degree,masters na PHD.
Suala la kuijajili bongo ni issue bse interest rate za bank ziko juu kama tunakomoana!
Alafu sio wote wamejiliwa wapo ambao wanapambana kivyao ingawa kwa kusua sua
 
Back
Top Bottom