Majibu ya Wrritten Interview Secretariat ya Ajira -19th April 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majibu ya Wrritten Interview Secretariat ya Ajira -19th April 2012

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by hiakaman, Apr 20, 2012.

 1. h

  hiakaman Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Mwenye habari juu ya kuitwa kwenye oral interview, wameanza kupiga simu?
   
 2. korino

  korino JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  1
  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  OFISI YA RAIS
  SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
  Kumb. Na. EA.7/96/01/B/26 21 Machi, 2012
  KUITWA KAZINI
  Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji
  kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 2 hadi 3 Februari, 2012
  na 16 hadi 17 Februari, 2012 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu
  usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili.
  Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vipya katika muda ambao
  umeainishwa katika barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi
  (Originals) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na
  mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
  Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
  NA. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA
  KAZINI

  1. N ATIONAL EXAMINATION
  COUNCIL OF TANZANIA
  (NECTA)
  BINDER 1. BRIAN B. LELO
  2. O CCUPATIONAL SAFETY
  AND HEALTH
  AUTHORITY (OSHA)
  NURSING OFFICER II 1. AMIN JOSEPH
  YOSOMANA
  MEDICAL OFFICER II 1. EDWIN MICHAEL
  SENCUO
  INSPECTOR I (PLANT
  SAFETY)
  1. YUSUPH H. MRUMA
  INSPECTOR II
  (ERGONOMICS)
  1. SUSAN REUBEN
  2
  3.
  INSTITUTE OF JUDICIAL ADMINISTRATION (IJA) – LUSHOTO
  SENIOR ESTATE OFFICER
  1. ARCH YASIN MAKANGE
  4.
  TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE (TFNC)
  RESEARCH OFFICER I (DIETETICS)
  1. ELIZABETH J. LYIMO
  2. NYAMIZI JULIUS
  RESEARCH ASSISTANT (ECONOMICS)
  1. REGIS MMBANDO
  PRINCIPAL ASSISTANT ACCOUNTANT
  1. ALLY ZAHORA SAID
  5.
  TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE (TPSC)
  ASSISTANT LECTURER (FINANCE)
  1. HERIELI E. NGUVAVA
  2. SABATH MAKAMA UROMI
  3. ANDREW FRANK MGAYA
  ASSISTANT LECTURER (HUMAN RESOURCES MANAGEMENT)
  1. EMMANUEL TANDIKA
  2. MOHAMED ABBASI BALOZI
  ASSISTANT LECTURER (INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY)
  1. HOSEA GEORGE
  EXAMINATION AND CERTIFICATION OFFICER
  1. BONIFACE MTIAMA ABEL
  SENIOR INTERNAL AUDITOR
  1.CHRISTINE MBOMA
  RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II
  1.BELUNDA G. MILAMBO
  SENIOR PROCUREMENT AND SUPPLIES OFFICER
  1. MAGNUS M. MLOKOTA
  6.
  COMMUNITY DEVELOPMENT TRAINING INSTITUTE (CDTI) - TENGERU
  ASSISTANT LECTURER
  1.EBENEZARY A. LAWUO
  X. M. Daudi
  KATIBU
  NB: Tangazo hili linapatikana katika tovuti zifuatazo:
  PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS, Public Service Management, PMORALG - Home - na The National Examinations Council of Tanzania
   
 3. r

  ruckee45 New Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  no one
   
Loading...