kama angeweza atulie tu sasaiv na kukaa mbali na mapenzi coz imekuwa kama mchezo wa kuigiza na kumchafulia sifa.naamini maumivu yanayo muumiza yataisha na atakuwa katika hali ya kawaida hadi Mungu amfugulie njia na kumpa mume mwema.kama anataka ushauri ............anicheki
mimi naamini mwanaume ndiye kichwa cha familia na ana uwezo kuifanya familia yake iwe bora katika maisha.isue ni kwamba mwanaume nilazima uwe na principle ambazo ctakufanya hata na mkeo aamini unaweza na c kulalamika kwa jambo ambalo liko wazi na hata ww unaona...hii nikama kujitia kitazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.