Desa la bure (wanaume only)

Hiyo ni nzuri ndugu lakini kwa mwanaume wa kibongo anaona ni kujishusha uanaume wake akifanya hayo,wao wanajua mapenzi ya kulipia tu halafu apewe ngono.
 
Daa ur smhw right bt mademu wa kibongo si atakimbia hawajazoa hlo!
 
heading ya hilo desa ni 'how to make love WITH a woman', so nilitegemea mwanamke naye afanye jitihada fulani ili kufanikisha zoezi - but reading through the mentioned steps, inaonekana mwanamke yeye amepozi kama gogo tu
 
kwa leo muda ni mdogo na macngira mengi hizo requirement ucpati.....next option
 
Mhhhhhhhh! aisee kwa sisi wenye vigonera tutaweza kweli manjonjo yote hayo? Labda kama ni 'mzunguko' wa pili au wa tatu aisee.
 
Asante kwa desa,
At least nime-gain kitu,
Ntafutie desa la cha fasta!
 
Back
Top Bottom