Recent content by HGYTXK

  1. HGYTXK

    Athari za ukiukwaji wa sheria ktk kuwawajibisha watumishi wa umma ni kuwadhalilisha watumishi.

    Awali nitangulize pongezi zangu kwa dhamira binafsi za raisi JPM na waziri mkuu ktk kufumua uozo ambao kwa kipindi kirefu sana ulionekana ni wivu na propaganda kwa wale waliojaribu kuonyesha na kukemea. Hojayangu leo ni kuwapa uushauri viongozi hawa wakuu pamoja na serikali kwa ujumla juu ya...
  2. HGYTXK

    Azam Sports Federation Cup Live Uptades leo Tarehe 23-1-2016

    Mm naomba kuelimishwa kuhusu hili kombe la FA maana nasikia tuu ligi inasimamishwa kwa ajili ya kombe la FA ni club gani zitashiriki na mshindi atakuwa na title gani?.
  3. HGYTXK

    Kikwete wewe Ulikuwa Rais wa Nchi, come on, Man!

    . Mbona Mkapa alibebeshwa Kiwira akakomaanao mpaka wakanyamaza?. Awe mpole tuu.
  4. HGYTXK

    Nisaidieni hili: Ubakaji wa mwanafunzi wa form six mwenye umri wa miaka 16

    Suala la ubakaji bado lipo palepale awe na miaka 4 au 40 akishaingiliwa bila ridhaa yake huo ni ubakaji. Kama ungeifuatilia hii story kabla ya jana pale hili tukio liliporipotiwa awali ungeona unyama ambao huyu binti kafanyiwa. Kushusha umri ni mbinu za kutaka kummaliza mapema mtuhumiwa.
  5. HGYTXK

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    Kwani hao wana habari hawaigopi masuala ya kisheria kama aliyoyaogopa Zitto?,watakapoulizwa wameyatoa wapi watamtaja nani wakati aliyewapa kasema anaogopa sheria kumchukulia hatua?. Angetajawalau robo ya majina ndipo angewapa nguvu wanahabari,nakuhakikishia hakuna mwandishi atakayechapisha hayo...
  6. HGYTXK

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    Kama chanzo cha habari kinaogopa kushtakiwa,vp kwa mwanahabari ambaye anatakiwa atoe chanzo cha habari yake?.
  7. HGYTXK

    Msaada: Wadudu wamekula mbao za dari, paa linataka kudondoka. Mtaalamu wa dawa anisaidie ushauri

    Upo maeneo gani?,huku Mtwara tunatumia sana mafuta yanayotokana na maganda ya korosho kutibu hilo tatizo,unazipaka mbao kabla haujazitumia na hakuna mdudu atakayeziharibu. Kwa kawaida lita moja ya hayo mafuta uuzwa kati ya elfu 3 hadi elfu 5 kulingana na msimu wa upatikanaji wake. Kama upo Dsm...
  8. HGYTXK

    Tupeni updates ya yanayojili bungeni kwenye mjadala wa bajeti ya Nishati na Madini

    Kivipi mkuu,au ndio kama kawaida lishakuwa bunge la kampeni. Wapo Dom ila akili zao zote zipo majimboni.
  9. HGYTXK

    Tupeni updates ya yanayojili bungeni kwenye mjadala wa bajeti ya Nishati na Madini

    Sijui ni kwa nn imezoeleka kuwa mara nyingi wakati wa mjadala wa hii wizara umeme uwa unazimwa!,sijui ni hujuma au mpango mahususi?.
  10. HGYTXK

    Tupeni updates ya yanayojili bungeni kwenye mjadala wa bajeti ya Nishati na Madini

    Wadau nilikuwa nafuatilia mjadala wa bunge la bajeti hapa kwa wizara ya nishati na madini kwa bahati mbaya mitaa yetu ya Ubungo tanesco wamechukua umeme wao mara tu baada ya Waziri wa Nishati George Simbachawene kumaliza kuwasilisha hotuba yake na dakika chache baada ya kuitwa mwenyekiti wa...
  11. HGYTXK

    Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

    " Ni mweupe" Nimenukuu hiko kipande mkuu,huo ni ubaguzi wa rangi na kuwadhalilisha weupe. Una maana weupe ni hamnazo kiasi cha kufananishwa na yeyote hasiyejiweza?. watake radhi mkuu una hoja mzito ila haujatumia neno sahihi ktk hilo.
  12. HGYTXK

    Msafara wa boda boda toka Mbarali wavamia nyumbani kwa Lowassa, Dodoma

    Kumbe Lowasa kahamia Dodoma siku hizi toka Monduli?.
  13. HGYTXK

    Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma lashindwa kumuhoji Andrew Chenge

    Nyoka mwenye makengeza,hii nchi bana. Huyu jamaa inaekea anajua siri nyingi na nyeti za wakubwa maana anavyojiamini!,hana wasiwasi kabisa maana itakuwa anasubiri tu wamwagie ugali yy amwage mboga. Ngoja tuone mwisho wake ila mara nyingi mtu kama Chenge utolewa kwa Balal style ngoja tushuhudie...
  14. HGYTXK

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Inasikitisha kwa kweli,nchi ambayo wahalifu wanafanya chochote wanavyojisikia kwa muda wowote bila kumuogopa Mungu wala mtu yeyote. Ifike mahali serikali itamke basi kuwa imeshindwa kuwalinda na iwatafutie hifadhi nje ya nchi wanakothamini utu wa binadamu. Kizazi cha kishirikina uongozwa na...
  15. HGYTXK

    TCRA Wakomesha wizi wa simu za mkononi

    Nitaijuaje IMEI yangu?.
Back
Top Bottom