Simply, mwambie tu barua ya utambulisho ina nguvu kuliko hiyo namba ya NIDA. Akiwa na namba ya NIDA bila hiyo barua bora asiende tu atapoteza nauli yake.
Simply ni kwamba, vijana wanaojitolea ndiyo wanaosababisha serikali isitangaze ajira za kutosha kwa vijana kwasababu uwepo wao ofisini unaficha uhalisia wa upungufu wa Watumishi maofisini maana kila takwa la kiutumishi linakamilishwa na hao vijana wanaoitwa wa kujitolea, serikali haiwezi na...
Ipo ndugu chamsingi unaambiwa uvuke kizingiti cha written tu. Ingawa siyo kwa ukubwa ambao utakuwepo tukienda kwenye huo mfumo mwingine ndiyo ambapo akina sisi tutaumia na kupigika sana bora tubaki hukuhuku tu maana hata matangazo ya kazi hatutayaona kabisa.
Ukiona mtu anapigia chapuo mfumo fulani ujue kabisa una manufaa kwake ya moja kwa moja. Tunajua kabisa hata huku Utumishi kuna mianya/watu kupata kazi kwa connection lakini haitakuwa sawa na huko mdau anakotaka.
Taasisi zikiruhusiwa kuajiri zenyewe basi watanufaika wenye ndugu tu lakini akina...
Nadhani hakuna tofauti na nilichoeleza hapo, ina maana huyo bwana mdogo ameona hilo na kaamua isiwe shida kaamua kuleft group la familia ambalo halina msaada na kukomaa kivyake huko.
"Hata kwenye group la familia kaleft" Jaribu kumfuatilia hizo ni hasira na uchungu inawezekana kati yenu kamuona ana uwezo fulani ambao anahisi kabisa anaweza kumsaidia lakini inaonekana hawana msaada kwake/wamefunga vioo. Jaribu kuwa karibu naye au mshirikishe unayemuona kati yenu ana uwezo...
Nadhani anatakiwa kuchagua post iwapo tu hizo posts zake zimetoka kwa pamoja ndipo unakuwa na scale of preference lakini kama hiyo nyingine anayoikubali na kuipenda ajitoe tu ufahamu akachukue barua na labda kama nje hiyo nafasi ana chanzo kingine cha uhakika cha kipato atakuwa sahihi na atakuwa...
Mkuu wewe endelea kuomba upande wa database, humu kama sikosei kuna mtu anaitwa Prok aliposti hiki na alikuja kabisa na evidence ya barua ya miongoni mwa watu aliyepata hizo nafasi tangu August 2022. Watu wapo mzigoni tangu September 2022 walipigiwa simu inagawa jamaa alivyoposti humu watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.