HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mrejesho

Jamani nimekosa nafasi kwenye mkeka uliotoka leo.

status kwenye web na app; selected for oral interview.

nakumbuka written nilipata 80+, prac 75+ , oral nilijibu maswali yote kwa usahihi tena yale ya taaluma sikuacha ata point.

Nimekandwa, labda ntaponea kwenye mkeka wa database.

nimekata tamaa kufanya interview za utumishi.
Kukata tamaa ni kosa kubwa sana, relax mkuu.
 
Haya yote yanatokana na kuchelewesha kutoa PDF
laiti kama PDF ingekuwa inatolewa siku kama tatu baada ya oral wala watu wasingekuwa na tension kubwa kiviiile
 
Namimi nimetoboa Taec , Mungu mkubwa , nimeona aiseee ,Dah ! Nimetoboaaaa Utumishi ,
Hahaaaa nimetoboa kwenye ndoto lakini , ,😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃🙈🙈 heheeee
Daaaaa kweli majeshi hayakua riziki yako mkuu
 
nime give up.. sintofanya tena. aiwezekani nifaulu vile alafu nikose nafasi

goodbye Sekretarieti ya Ajira

Look other way around huenda kuna mtu amekamata nyota yako,kazifunga njia zako za mafanikio watu wenye hira tu katika maisha yako usikate tamaa ,omba sana , funga kavu hata tatu bila kula kitu, utauona ukweli na Mungu atafungua njia zako za mafanikio
 
Hongera ukawe mtumishi mwema
Huu mwaka ni wetu mkuu lazima tubwie asali ,afe ng'ombe afe mmasai asali lazima ilambwe mzee ,
Utumishi wazidi kushusha pdf na ajira mpya na wachukue watu Kwa data base jobless tutazidi kupungua ,kwa kweli kwa mwaka huu wamejitahidi hasa hizi wiki kadhaa naona baada ya presha za maza house kuwakoromea ,waendelee hivyo hivyo ,wasipunguze kasi
 
Ukiona kabisa interview uliimudu,ukapanga mambo yakapangika,uliilizwa maswali ukayajibu vizuri ,na ukaona kabisa ume dominate ukafanya kila kitu kama ilivyopaswa ili viende sawa ,lakini bahati mbaya ukaikosa kazi hakika kuna watu wachafu wameweka mikono yao wanaroga mafanikio yako ,

mjifujze pia kumtegemea Mungu katika kila jambo mkiwa mnajianda kabla ya usaili mshirikishe Mungu mwambie Mungu mimi bila wewe siwezi nakuhitaji wewe Mungu baba mimi najikabizi kwako ukaniongoze kwenye chumba cha usaili, hii kazi ni yangu kama unavyowabariki wengi nami basi ni zamu yangu ukafungue mlango huu wa baraka


Hakika Mungu atatenda kwa namna imani yako ilivyo thabiti
 
Mrejesho

Jamani nimekosa nafasi kwenye mkeka uliotoka leo.

status kwenye web na app; selected for oral interview.

nakumbuka written nilipata 80+, prac 75+ , oral nilijibu maswali yote kwa usahihi tena yale ya taaluma sikuacha ata point.

Nimekandwa, labda ntaponea kwenye mkeka wa database.

nimekata tamaa kufanya interview za utumishi.
Usikate tamaa mkuu, jipe moyo.
 
Back
Top Bottom