Recent content by herry john

  1. herry john

    Je wajua kwa nini vijana siku hizi wanavunja ndoa kirahisi?

    Sio kweli kabisaaa had usiku ukilala nae anakuwa na makeup na asubuhi anakua na makeup? That is not a facts at all
  2. herry john

    Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

    Pole kwa mkasa unaokusibu katika maisha always kuna pande mbili kama ilivyoshilingi. Na kama ni mumeo na mlifunga ndoa kanisani kuna haja ya kumlilia bwana, jaribu kuomba ushauri hata kene mabaraza ya watu wazma, ikiwemo hata watamushi wa kiroho, hyo grieving period ya kuhusu wazaz wake...
  3. herry john

    TATIZO LA MAMA WENYE NYUMBA KUACHIA KILA JUKUMU KWA WADADA WA KAZI

    Wapo tena wanamuambia fua fasta fasta[emoji2][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. herry john

    TATIZO LA MAMA WENYE NYUMBA KUACHIA KILA JUKUMU KWA WADADA WA KAZI

    dada anaamka mapema na kuandaa kila kitu ikiwamo na chai,, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka.) MKE: dada msindikize baba ili ufunge geti sababu bado ni giza DADA: sawa mama. (Dada anatoka na begi la baba hadi nje kwavile mkewe yupo ndani,, baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto,, dada...
  5. herry john

    Kama ni chaga basi mimi nimepewa na kitanda chake

    Kuna watu waandishi [emoji38][emoji38][emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. herry john

    Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

    Quote ya akili sana hii mzee...[emoji106] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. herry john

    Kwanini watu wananiogopa sana?

    Well said atupie picha wana jf nasisi tumuone nass tumkimbie[emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. herry john

    Kwanini watu wananiogopa sana?

    Hujafafanua kinachofanya wakuogope mkuu uo urefu, hyo rangi? Au kuna namna nyingine...???? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. herry john

    Je, kuoa Mwanamke anayeshinda na wewe ndani ni sawa?

    Hahahaaha kwakweli mwanamke anayesema hakuogopi yaan ukianzisha vanga naye yumo still unataka kumuona alivyo tu inaonesha hata heshima yake niyakushikiwa...[emoji1][emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. herry john

    Kama Tundu Lissu ni msaliti, Watanzania tunahitaji wasaliti 10000 kama Lissu

    Well kwa mtu mwenye akili timamu hawez kumzomea "muheshimiwa" bila vyama pinzani mpak sasa watanzania tusingekuwa tunajua yaliyomo... we are blessed kuwa ma watu educated, intelligent ammbao mara nyingi wanajitolea kwaajili yetu ila sisi tupo... tu yaan nisawa kama baba anakuamsha asubuhi uamke...
  11. herry john

    Natafuta kaz

    Got you mzee Sent using Jamii Forums mobile app
  12. herry john

    Natafuta kaz

    Nimesema utakao kidhi mahitaji yangu ndgu yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. herry john

    Natafuta kaz

    Natafuta kaz ambayo mshahara wake utaweza kukidhi mahitaji yangu nina diploma ya land management, valuation n registration.... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. herry john

    Hamisa Mobetto new Song "SAWA" ni Fire

    Mwimbo ni mbaya mwanzo mpk mwisho ajikite kene duka lake la nguo kuimba ni big nooooo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom