Je, kuoa Mwanamke anayeshinda na wewe ndani ni sawa?

Atakuzingua huyo baadae, ndoa si mchezo
Wakuu habari!

Nina demu wangu fulan hivi nataman kumuoa lakini sometimes huwa ananitisha yaani ukiongea kitu mnabishana kama wote Wanaume muda mwingine anakwambia aniogopi kwa chochote hata tukianzisha vagi fresh tu

Lakini huwa anajishtukia na muda mwingine yupo safi mpaka raha ukimchokonoa kidogo tu moto hatari alishawahi kunipeleka mpaka kituo cha Polisi sema nikasahau tukaendelea.

Ushauri jamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalili ya mvua ni mawingu. Usijidanganye kuwa atakuja kubadilika, na ukishaoa, kupata mtoto/watoto, inakuwa vigumu kuachana.
Wakuu habari!

Nina demu wangu fulan hivi nataman kumuoa lakini sometimes huwa ananitisha yaani ukiongea kitu mnabishana kama wote Wanaume muda mwingine anakwambia aniogopi kwa chochote hata tukianzisha vagi fresh tu

Lakini huwa anajishtukia na muda mwingine yupo safi mpaka raha ukimchokonoa kidogo tu moto hatari alishawahi kunipeleka mpaka kituo cha Polisi sema nikasahau tukaendelea.

Ushauri jamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha.mapenzi haya bora yako wewe mie nimemtolea mpaka barua nikamwambia naitaji nimchukue niishi nae akasema ye bado mpaka hapo nikamwambia abakie kama mzazi mwenzangu tu staki kuoa

Kwa hiyo kumtolea barua ndo tiketi ya kumhamishia kwako? Vijana tunaenda wapi? Hivi dada yako ajitolewa barua basi ruksa akipeleke? Muwe mnakua kiakili basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanaume wa siku hizi mmekuwaje? Yani demu akupeleke kituo cha polisi na bado unaendelea kuwa na mawazo ya kumuoa?

Hapo mkifunga ndoa tuu utakuwa unaosha vyombo, kupika kwa zamu, na papuchi unapewa kwa ratiba maalumu.

BTW umelogwa ww sio bure. Pole san mkuu.
Hahahaaha kwakweli mwanamke anayesema hakuogopi yaan ukianzisha vanga naye yumo still unataka kumuona alivyo tu inaonesha hata heshima yake niyakushikiwa...[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha,eti,"alinifumania si unajua tena", actually huyo mwanamke ndo anakufaa wewe
 
Hali hiyo hutokea kama herufi zenu za mwanzo zinafanana ....mfano said na safina, na hali hiyo huisha mkizaa mtoto maana mkeo ataitwa mama flan na sio jina lake la mwanzo
 
Embu kua kwanza usikurupuke bwana mdogo
FB_IMG_1551078120553.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari!

Nina demu wangu fulan hivi nataman kumuoa lakini sometimes huwa ananitisha yaani ukiongea kitu mnabishana kama wote Wanaume muda mwingine anakwambia aniogopi kwa chochote hata tukianzisha vagi fresh tu

Lakini huwa anajishtukia na muda mwingine yupo safi mpaka raha ukimchokonoa kidogo tu moto hatari alishawahi kunipeleka mpaka kituo cha Polisi sema nikasahau tukaendelea.

Ushauri jamani

Sent using Jamii Forums mobile app

We sema tu kuwa na kichapo anakutembezea
 
Hali hiyo hutokea kama herufi zenu za mwanzo zinafanana ....mfano said na safina, na hali hiyo huisha mkizaa mtoto maana mkeo ataitwa mama flan na sio jina lake la mwanzo
Jamaa, Unasema tu au ndio hali halisi ilivyo?
 
ni kaburi lako hilo, zigo lako endelea naye

ni asili tu ..kama mjinga unafia kwenye ujinga wako ambao unajua kabisa ni HATARI

unakuwa na akili kama nzi ambaye anafia kwenye kidonda, ila hajui maskini hatari inayomkabili

pole
 
Back
Top Bottom