Mkuu hapa umepotoka, kuandamana waislamu kunahusiana nin na uwepo wa mabomu, je ni halali kwa kila muandamanaji apigwe mabomu.........
Hoja kama hizi ndo zile zinazochochea udini,mkuu wa majeshi, jaji kiongozi, mkuu wa polisi, jaji mkuu kuwa muislamu kunahusiana nini na maandamano ya waislamu...