Gari inayojazwa hewa badala ya mafuta jitaarisheni 2013!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari inayojazwa hewa badala ya mafuta jitaarisheni 2013!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rebel volcano, Sep 7, 2012.

 1. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Limefanikiwa shirika la india tata motors kutoa gari aina ya air pod,jambo lililopelekea ufaransa kuekesha oda ya nguvu itakayokabidhiwa mwisho wa 2013,gari hiyo ina uwezo wa kubeba watu watatu,na speed yake ya mwisho kabisa ni 80km kwa saa,na bei yake ni $10000/=
  tusubiri kutumia wazalishaji wapo!!!
   

  Attached Files:

 2. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu, kila baada ya kilometa ngapi kujaza tena hewa?
  Maana hizi foleni zetu itabidi kutembea na compressor yako kwenye boot.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  ni swali nilokuwa najiuliza
   
 4. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Lets hope engine ikitembea inafua hewa yake yenyewe, otherwise mazingira yatatuumbua. Ila TATA nao ni watata. wanataka haya mafuta yetu tuliyogundua tuogee au tunywe?
   
 5. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ina uwezo wa kutembea 125km ndio ujaze tena hiyo hewa
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Itakuwa ni gase na siyo hewa
   
 8. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  gari mbayaaa, hata bure sichukui
   
 9. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa ili ni gari au bajaji?
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hizo gari ziko muda mrefu ila haziwezi kutumika in large scale kwa sababu other maintance costs zinakuwa kubwa zaidi. Ukinunua gari hilo inabidi ufikirie jinsi ya kununua pia comressor ya kujaza hiyo gas. Wataalam wanaoweza kurepair both gari na compresor ni wachache, Huwezi kwenda long distance.
   
 11. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  sasa naanza kuiona dunia inakoelekea.....
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  je kutapika ukiwa ndani hujatueleza.
   
 13. heroone

  heroone Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Umemaliza kila kitu hapa mkuu cna cha kuongezea

   
 14. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  ongeza na jenereta kwenye list.
   
 15. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu japo sijakuelewa vizuri hapo, ila hewa, upepo na gesi asilia ni mifumo hali tu, ila hii gari inaonekana kutumia mfumo hewa kama sijakosea ndio upepo huo.
   
 16. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vyema ulivyomuelewesha
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Hata hewa ni gas mkuu...technically hewa ni gas ya oxygen
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  hili gari huwezi endesha kwenye barabara zetu zenye matuta kila mahali...unless uwe unaishi masaki na iwe ya kuendea kazini posta
   
 19. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu hizi gari zinaweza kufika kwetu rombo kweli??? Mi naona kama itachukuwa week moja kufika
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tofauti luga tu siyo?
   
Loading...