Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

pondo ni mtu mdogo sana , japo nawalaani polisi kwa ukatili wao , lakini kwangu namuona ni muhuni anaenufaika na umaskini wa fahamu wa wafuasi wake/.....
 
MWANANCHI WAMEMPA PONDA NAFASI YA KUFANYA AT THE COMFORT OF HIS HOSPITAL BED.......kweli ponda kichwa.Fools can work better tha i...d..i..o.t.s.Wajasiria mali, mashujaa wetu ktk taasisi za kiraia, na wanasiasa makini hawana coverage hata ktk space ndogo ktk inside pages.Terrorist ana fron page ya kutoa maoni yake.tena maoni km ya kizembe km Masuper star wa dunia.

Thibitisha kuwa he is a terrorist sio kuwa unazungumza ili uonekane
 
Siwezia amini amini km Mwananchi wanaweza kuwa irrespoonsible kiasi hiki.Ponda si mtu w akufanyia mizaha au kumpa coverage kiasi hiki.Pamoja na kwamba yaliyomtokea yana maswali nchi nzima ila kauliza zake za nyuma na harakati zake si sahihi kwa amani ya nchi na uhuru wa wengine ktk taifa letu.

Walichoandika Mwananchi ni kuanza andika views zake na mambo fulani yanayoleta uhalali wa ponda ktk mambo yake na hivyo kumfanya popular na public figure.Sasa hivi mtakuw ana wakati mgumu sana kuchambua yale mavu ya Ponda na haki yake.

Mwananchi wameingia line vibaya,tena bila kuwa responsible kwa nchi yetu.Gazeti lenye ushawishi na coverage kubwa km Mwananchi halafu linakosa weledi kiasi hiki ni hatari kwa nchi.Siamini mhariri kashindwa kusema ilipovunjwa haki imhusuyo Ponda, na Direction aliyoelekea Ponda na Mambo hatari sana anayochezea Ponda.Mwananchi wameamua kutumika, na siku zinavyokwenda hawa fanatics watawa program waandishi, na wahariri uchwara wanaopata umaarufu kuliko uwezo wao.Kwa walioona wenzetu walivyo fanya ktk kushughulikia suala zima la Osama kuanzia kifo hadi kuzikwa kwake wataona wenzetu walivyokuwa wakichagua hata jinsi ya kutoa taarifa za mikanda yake, na jinsi ya kumzika na wapi pa kumzika ili wasijikute wakitumiak kufikisha ujumbe.

Mwananchi hawajui kuwa kufikisha tarifa kipuuzi za kila anachosema ponda, kila kinachompata, basi ipo siku Ponda atatumia magazeti, TV, na radio za wananchi walewale ambao Ponda anataka watoweke.Ili kutangazia wafuasi wake wafanye nini kwa muda gani, na wanfanyie nani, na vipi washinikize kiongozi wao aachiwe.

Siamini kuwa Gazeti km mwananchi limeshindwa kuwa na wataalamu wa nyanja nyingi , hata kuchmbua habari huku wakihakikisha usalama na maslahi ya nchi ynalindwa wamekosa kabisa.Najua kuwa Gazeti lao lingine la sport starehe nalo huwa linaandika habari kwa fikra za waaandishi, tofauti na habari husika ilivyoandikwa ktk internet ila hiili ni more serious.

Kama akina mama walivyopata nafasi ya work from the comfort of their house ktk "WORK FROM HOME MODEL", MWANANCHI WAMEMPA PONDA NAFASI YA KUFANYA AT THE COMFORT OF HIS HOSPITAL BED.......kweli ponda kichwa.Fools can work better tha i...d..i..o.t.s.Wajasiria mali, mashujaa wetu ktk taasisi za kiraia, na wanasiasa makini hawana coverage hata ktk space ndogo ktk inside pages.Terrorist ana fron page ya kutoa maoni yake.tena maoni km ya kizembe km Masuper star wa dunia.

samahani kwanza labda ningpenda kujua elimu yako manake msomi hawezi kuongea ----- km huu

sasa mwananchi kosa lake lipi? ni kwmaba wamemwandika sana au wameandika uongo? kama angekuwa pengo ndio kapigwa risasi ungesema hayo unayoyasema? wengine wanafanya kazi yao kibiashara zaidi

hizo chuki zenu zinawaondolea hadi akili ya kawaida tu ya binadamu...

eti ponda gaidi, inawezekana ww ndio gaidi namba moja ndio afuate yy....chunga domo lako kijana kama imekuuma nenda kajinyonge...mxiiuuuuuuu
 
Mleta mada unanung'unika nini!?
Ugaidi wa Ponda uko wapi?
Hivi gaidi hasaa unamjua wewe ama unaropoka ropoka tu. Gaidi angekua Ponda Wamarekani si wangeshamnyakua maana hawanamjadala na magaidi kama wanavyosema wenyewe.
Usilazimishe watu wafanye kazi kwa hisia kama unavyoweza wewe, watu wanafanya kazi zao kwa kuangalia uhalisia na ukweli. kilichoandikwa ni ukweli uliopo kwa pande zote mbili.
KILA MWAMBA NGOMA HUVUTIA KWAKE..upande wako tumeshaujua.
 
Hizi dini zinazoendeshwa kwa emotions za watu kuliko mafundisho sahihi ni hatari kwa taifa ambalo limechanganya watu wa imani tofauti.Na ndio maana wamarekani walimzika Osama chini ya bahari ili wanaomwabudi wakose pa kupeleka sala zao, maana binadamu badala ya kumwabudu Mungu wamekuwa majuha na kuhabudu eti Ponda, Osama n.k. kwamba anachosema inakuwa amri yaani watu kama mazuzu watekeleza kila wasemacho bila kupima au kuhoji..
 
samahani kwanza labda ningpenda kujua elimu yako manake msomi hawezi kuongea ----- km huu

sasa mwananchi kosa lake lipi? ni kwmaba wamemwandika sana au wameandika uongo? kama angekuwa pengo ndio kapigwa risasi ungesema hayo unayoyasema? wengine wanafanya kazi yao kibiashara zaidi

hizo chuki zenu zinawaondolea hadi akili ya kawaida tu ya binadamu...

eti ponda gaidi, inawezekana ww ndio gaidi namba moja ndio afuate yy....chunga domo lako kijana kama imekuuma nenda kajinyonge...mxiiuuuuuuu
Elimu yangu ya nini sasa?Waulize watanzania elimu ya Prof Lipumba na Maji marefu halafu uniambie kwanini wapo kapu moja.
Give me a break...Pengo hawezi fanana na Ponda bana...Pengo akiongea kitu anakuwa na self restrain na responsible kwa kiasi awezacho.

Ndugu zangu naona hii issue ni kubwa kuliko mnavyofikiri...km mnadhani kudhalilisha Polisi kunauza mmekosea, thisi time issue ni ya Criminal na mamlaka ya ulinzi.Ila tofauti Mamlaka imekosea ktk zoezi la kumshika Ponda, ila si lengo la Kumshika.

Tatizo si uongo tatizo Ponda kutawala Gazeti front Page yote na si kwa uchambuzi ,ila kwa Ponda kujieleza chochote na kwa watu wote...psychopatic ,mafia, na majambazi wanaweza wasilina na wafuasi wao kwa kusema maneno fulani fulani km code au hata kuwa provoke raia na mwisho wa siku akatumia media bila kulipia hata kipindi kimoja.

we unaweza kuwa mwandishi wa hovyo wa hili gazeti, mfuasi wa ponda au both ndio maana unapambana kutukana ili kutetea kilichowekwa wazi hapa.Mwajiri wako km ana akili akutazame usijekuwa ni pandikizi wa hizi harakati za ponda.
 
Irresponsible? Hujui maana ya habari-habari hata kama inakuudhi wewe bado ni habari. Mwananchi hawawezi kuandika yale unayoyataka wewe tu hata usiyoyataka yataandikwa tu. Amani ipi ya nchi unaisema kuvunjwa? mani ya nchi uanzia amani ya mtu binafsi. kama wewe unayo wengine (aakina Ponda) hawana ndo bado wanaitafuta, waache waitafute ikibidi saidia waipate ili kuwepo na amani kwa wote. wewe ukilala na kula na kuamka ujue wengine hawajalala, kula wala kuamka -huo ndo ulimwengu. Lkn ujue kuwa mwenzio akinyolewa wewe tia maji (tazama ya Ulimboka, Kibanda na wenye kumwagiwa tindikali na mamilionea wanaouawa kila siku) Hii siyo amani, Ngoja zamu yako nawe

Irresponsible Yes...hujui maana yake?Si usingepost tuu....Nikupe mfano rahisi...Baba ana haki ya kumchapa mkewe denda popote....ila kama ni responsible hatofanya mbele ya watoto....mzazi irresponsible ataitumia haki yake..na hatokuwa na kosa..kisheria ila atakuwa si resnsible wanae wanaopoamua nao kujaribu mapema hiyo habari.

Kwa vile wewe ni kanjanja...bado akili haija update, baadhi ya vitu ktk responsible writing.....Ndio maana pamoja na udoho wako wa akili ,sidhani km Ponda angekuwa uchi wa mnyama sijui km ungempiga picture uchi na kuandika ponda aeleza alivyovuliwa nguo na kubaki uchi......kitakachozuia hapo si sheria , mapenzi au chuki ila ni "kuwa responsible".

Sasa wewe kanjanja umekuwa mno too naive hadi uka blow things out of proportion....mimi na wengine wenye kuelewa mambao tumetenganisha haki za Ponda, haki za polisi, na Jinsi Polisi walivyofanya kazi yao..walivunja haki fulani za Ponda ,wakapeleka ujumbe usio sahihi kwa jamii,Ila hawakuondoa tuhuma , na makosa yaliyothibiika na mahakama, au hata yaliyo hukumu ya public.Nasikitika kuwa waandishi kanjanja hawajaona tofauti, ya issue za CDM na Issue ya Ponda, kwa vile wamekariri tuu wakakimbilia kuandika ili wauze kesho yake...ila hawajui msg...
 
Thibitisha kuwa he is a terrorist sio kuwa unazungumza ili uonekane

Ya nini nikuthibitishie kwani wewe ni mahakama....shida yenu hamjui ugaidi ni nini a wengine wanajua ila wanapenda geuza magaidi kuwa wapigania haki.

Ukitaka jua ugaidi kaulize kwanini wakristu walifanya ibada pasaka na Christmas chini ya Ulinzi na saa ambazo si za kawaida..ile ndio inaitwa Terror, iliyochochewa na terrorist Ponda..Hofu iliyojengwa na matendo ya kutisha na kuthuru uhai.
 
Sikuw anajua kuw andilo gazeti muajiri wa Msaky

Maada uandike mwenyewe nukuu ya kwanza wewe!
Sisi tusemeje Kama bado unaugambagamba naona CDM hautatosha.
Ukisikia ushabiki wa kijinga ndo huo! Kumbe humu CDM bado kuna vikereketwa!
We Nicolas kumbe mnywanywa!
 
Mleta mada unanung'unika nini!?
Ugaidi wa Ponda uko wapi?
Hivi gaidi hasaa unamjua wewe ama unaropoka ropoka tu. Gaidi angekua Ponda Wamarekani si wangeshamnyakua maana hawanamjadala na magaidi kama wanavyosema wenyewe.
Usilazimishe watu wafanye kazi kwa hisia kama unavyoweza wewe, watu wanafanya kazi zao kwa kuangalia uhalisia na ukweli. kilichoandikwa ni ukweli uliopo kwa pande zote mbili.
KILA MWAMBA NGOMA HUVUTIA KWAKE..upande wako tumeshaujua.

Nania kakuambia nanung`unika?Mimi nasema statement,wala sitaki mwananchi wanifanyie kitu back..wanaonungunika ni wale wasioridhika huku wakitaka kitu kifanyike kurudisha kuridhika.

Hakuna hisia hapa kwa upande wangu...nyie maboya ndio mna hisia kibao.Hakuna mnachosema mnarudiarudia wanachosema wengine bila cha maana ilimradi tuu mmsifie ponda.ndio maana watu wa hovyo sana Tanzania wanaweza tumia media kuwafanya wote muende km kondoo.

Wala sijakataa kuamuandika Ponda ila walipaswa waandike kwa tahadhari sana, hakuna hata walichowaambia watanzania kuhusu Ponda, controversies zake mbele ya watanzania, na dola, misimamo yake.Na siku ya tukio..Wabebaki andika ujinga mtupu sijui Ponda alipoteza fahamu, na nini km vile wanamhoji Mahatma Ghandi au Mandela.
 
Heri mkuu,
Nico ee, hebu tafakari mimi sikulazimishi ila naridhika kuwa LUGHA ya wengi imeaanza kubadilika na UKWELI/HAKIKA inaanza kuchopoza at the end of the tunnel HAKI itatawala (iwe sheria ya dola au mwenye kustahiki au kundi maalum)
Kimantiki mimi sioni kuna uharibifu wa amani HAYO ni mnayaleta nyie kwa dhana zenu zisizo na msingi wwote(baseless).
Shk. Ponda huwa haandai mkusanyiko wa watu at-all ! Yeye shk.PONDA hukaribishwa na WATU na MASS ndiyo humalika aje kwa kipindi cha muda mchache atoe maneno mawili matatu tuu!! MunguWeee kiasi cha kuwajuza wasikilizaji !! hapo nyie matumbo yanawachafuka na kupandisha PRESHA Ovyo. Bila kujua mada aliyozungumza SHk.PONDA yana husu nini?
Ndipo mnaanza kutumia mtandao wenu kuattack innoccent people. "huoni hapo kuna sintofahamu" ambayo huleta utata....huu in every action there is opposite REACTION. Wandugu be fair... haki ni kitu chenye gharama hakiiji burebure.
Lakini mimi ninaamini bado tunayo TIME na uvumilivu bado upo " it can be done "
Haha..naona umejitahidi sana kujikaza kabla ya kulipuka..naweza ona hisia zako dhidi ya Ponda...ndio maana nilikutaka ujaribu jiwekea kiasi...si wa ponda tuu hata wafuasi wa wachungaji wengi tuu wa makanisa yanayoibukia nao hujikuta wakiwa fanatics kwa kiasi cha kuanza kuwa abused na hao wachungaji.

Ponda ataalikwa sana, ila hata wauza madawa nao hualikwa sana ktk mambo mengi ya kijamii ambayo huyafanya kwa mbwembwe,ila ukiangalia kwa makini utakuta wanapenda siafa na kujijenga kisiasa, huku wakishiriki ktk matukio ya Mules wao.Ponda lazima aitwe na watu wengi ambao wamepotoshwa sana kwa miaka mingi sana, sasa km wewe kirahisi tuu unaona kuwa niw watu wengi bla kupima ni watu gani basi utakuwa umeingia ktk shida..HIvi nikikuuliza ktk dhuluma Ponda asemayo, aliwahi tenganisha km ni dhuluma ya waislam dhidi ya waislam, na hiyo anayosema kuwa ni dhuluma ya mfumo Christu na Waislam wakati anadaia mali za waislam chini ya Bakwata?Unadhani hajui?anajua ila naajua kuwa lengo la baadaye ni kushambulia wasio wakristu,ila akianza wachanganya ktk maliza bakwata, na kuiunganisha bakwata na Serikali na , na serikali na mfumo Kristu ili baadae aingie ktk level ingine.Wapi Wakristu wakahusika na mali za waislam zilizopo Bakwata?Au wapi Wakristu wanahusika na HIyo Bakwata?Wapi Wakristu wanashirikiana na akina Manji kununua mali za waislam?Sasa mbona vurugu za Ponda zinakwenda chezewa makanisani?

Pengine ni wakati wa waislam kutenganisha mambo yao n akuon awapi Ponda nawapeleka, hata kma Uongozi wa Serikali na sekta zake zote zimeshikiliwa na waislam. wanapoteza Muda huku wakipanga vitu vya kijinga halafu baadae wakitoka woao uongozi ukibadilika basi huanza hamishia mapunzufu yao nakushindwa kwa Raia asiye muislam ili kununua mapenzi ya waislam ambao wao waliwapa vitu vya kijinga km vyeo vya kupewa badala ya kuwaelimisha ili wakishika nafasi basi waitendee haki kwa miaka mingi.Wanawapa futari tuu ya siku moja, badala ya kuwahubiria umoja na amani, kuwapa namna ya kupata futari wenyewe kwa miaka mingi ijayo.
 
Maada uandike mwenyewe nukuu ya kwanza wewe!
Sisi tusemeje Kama bado unaugambagamba naona CDM hautatosha.
Ukisikia ushabiki wa kijinga ndo huo! Kumbe humu CDM bado kuna vikereketwa!
We Nicolas kumbe mnywanywa!

Anaother Junk ktk junks za tanzania...kwani lazima CDM initoshe?nnai kakuambia nipo determined kuwa CDM.Naweza fanya vitu vya ku support CDm sio kwa sababua nina fikra kam zenu za kukimbizana na Njaa.Ila kwa vile ndio pekee wanaoweza tengeneza Tanzania ninayoitaka.CCM yenyewe ilifaidi watu wasio hata wanachama wake,kipindi cha chama kushika hatamu,si kwamba watu walikipenda ila kwa vile hapakuwa na option zaidi ya kukiboresha ili nchi iwe inafaa.

CDm wanaweza share common values namimi na ninawachangia nikbahatika ingi aktk mikutano bila kuwa mwanachama wa kiongozi.

Tunatofautiana sana...mpo wengi sana tanzania ndio maana sasa hivi giza na mwanga vinakaribian, uovu na wema unaokuw ainaterngeably, wauza unga na majangili kuongoza nchi ni kitu halali kabisa.

wewe ndie Msaky nini?naona sasa unampa promo Ponda,baada ya Zitto....kweli Bongo hakuna cha kuamini.Mwananchi ni ya hovyo sana..wamepata heshima harama wakaamua i abuse...kwa taarifa yako kwa hasira nilippoliona tuu nilimpa kijana aliuze tena, halafu watu waliokuwepo pale nikawalipia walisome halafu warudishe kwa kijana aliaweke na na kuwarudishia huku akiwa kapata hela.walinipotezea muda sana..na kwa bahati watu wengi walikasirika sana km mimi, wengi walinunua kw ajili ya kupata tender, na matangazo mengine.

Poleni sana nimewadaka by surprise..ndo hivyo watu waliojisahau huwa wanadakwa hivyohivyo...huwa wanafukuzwa watu makazini, wanashidwa ktk deal haramu kwa staili hiii.Tusubirie Mawio ,inawezekana wakatuletea habari mapema kabisa kuwa Mwananchi kuna watu walipewa hela kupitisha habari za kishenzi km hizi.

Kuna sababu nyingi kwanini nichangie wa kwanza na siwezi poteza muda kukuambiwa kwa vile udogo wa akili yako utapelekea maswali mengine mengi ktk thread ambayo lengo si hilo.Ina maana huwezi kuwa tofauti na vilaza wengine wa kitanzania wanaodhalilisha nchi kwa kiasi ch akuwapa wageni shida kupata mtanzania mwenye akili.Hembu jikaze kidogo km mwanamume uandike mchango wenye maana,zaidi ya kuwa coward na kujificha ktk matisho ya matusi.
 
Ya nini nikuthibitishie kwani wewe ni mahakama....shida yenu hamjui ugaidi ni nini a wengine wanajua ila wanapenda geuza magaidi kuwa wapigania haki.

Ukitaka jua ugaidi kaulize kwanini wakristu walifanya ibada pasaka na Christmas chini ya Ulinzi na saa ambazo si za kawaida..ile ndio inaitwa Terror, iliyochochewa na terrorist Ponda..Hofu iliyojengwa na matendo ya kutisha na kuthuru uhai.

Narudia tena usizungumze ili watu waone na wewe umezungumza..... au na wewe ndo wale wale mtu akidai haki basi ankuwa gaidi.. niwapi na lini ponda alifanya ugaidi na au ugaidi wa ponda uko wapi.

Ni mangapi yanafanywa na watetea haki lakn hayaonekani kuwa ni ugaidi. Mbona tatetea haki wa CDM wanakusanyika na kutumia peoples power haionekani kuwa ni UGAIDI wakati lwakatare kazushiwa kesi ya UGAIDI NA SERIKALI HII HII WOTE TULISIMAMA NYUMA YAKE NA KUTETEA KUWA ANASINGIZIWA.....

Je! Ponda kusimama na kutetea haki ya waislamu na uhuru wa waislam imekuwa ni ugaidi? Think using u're common sense usifikiri kwa mawazo ya mtu mwingne.. cHUKI NA MAPENZI JUU YA KITU/MTU FULANI VISITUFANYE TUKAWA VIPOFU KUSHIDWA KUUONA UKWELI!!!!!!!
 
Haki ya waislama inahusiana vipi na zile mbio alizokuwa nazo kukusanya wahuni wakachome kanisa kwa sababu tuu mmemtega mtoto kukojolea quran?Lile kanisa alijenga yule mtoto?Haki za waislam zinahusu nini Wakristu kusali hadi wawe terrified kwa kiasi cha kuhitaji ulinzi na kubadili muda wa ibada?

Karudie tafsiri ua ugaidi pengine kiswahili unapat picture tofauti hadi uone mambo ya talibani na mabom makubwa tuu...hata yule boya wa Nigeria aliyetaka lipua nyeti zake...ni terrorist...Tafuta maana ya "Terrorism"....pia ujue mazubo ya Ponda hayajaanza toka rasmi kwa kiwango alichopanda.
 
Nania kakuambia nanung`unika?Mimi nasema statement,wala sitaki mwananchi wanifanyie kitu back..wanaonungunika ni wale wasioridhika huku wakitaka kitu kifanyike kurudisha kuridhika.

Hakuna hisia hapa kwa upande wangu...nyie maboya ndio mna hisia kibao.Hakuna mnachosema mnarudiarudia wanachosema wengine bila cha maana ilimradi tuu mmsifie ponda.ndio maana watu wa hovyo sana Tanzania wanaweza tumia media kuwafanya wote muende km kondoo.

Wala sijakataa kuamuandika Ponda ila walipaswa waandike kwa tahadhari sana, hakuna hata walichowaambia watanzania kuhusu Ponda, controversies zake mbele ya watanzania, na dola, misimamo yake.Na siku ya tukio..Wabebaki andika ujinga mtupu sijui Ponda alipoteza fahamu, na nini km vile wanamhoji Mahatma Ghandi au Mandela.

Nicholas!
Wewe unataka Ponda aandikwe kana kwamba tayari ni Mhalifu wa Ugaidi. Haijathibitika mkuu na ndio maana Mwanachi linaandika vile hali ilivyo, na maneno yanayotumika ni madai..watatumia maneno inadaiwa..inadaiwa mpaka pale itakapothibitika.
Sasa kapelekwa gerezani kwa kuvunja masharti ya kifungo cha nje. na sio ugaidi. Na pale hajasifiwa Ponda bali zimeandikwa kauli zake. kwani haki ya kusema hana.?!!!Na mkewe pia kazungumza, Je! pia wamekosea kuandika kauli ya mkewe?
Ghandi and Mandela both fought for freedom, so is Ponda.
 
Anaother Junk ktk junks za tanzania...kwani lazima CDM initoshe?nnai kakuambia nipo determined kuwa CDM.Naweza fanya vitu vya ku support CDm sio kwa sababua nina fikra kam zenu za kukimbizana na Njaa.Ila kwa vile ndio pekee wanaoweza tengeneza Tanzania ninayoitaka.CCM yenyewe ilifaidi watu wasio hata wanachama wake,kipindi cha chama kushika hatamu,si kwamba watu walikipenda ila kwa vile hapakuwa na option zaidi ya kukiboresha ili nchi iwe inafaa.

CDm wanaweza share common values namimi na ninawachangia nikbahatika ingi aktk mikutano bila kuwa mwanachama wa kiongozi.

Tunatofautiana sana...mpo wengi sana tanzania ndio maana sasa hivi giza na mwanga vinakaribian, uovu na wema unaokuw ainaterngeably, wauza unga na majangili kuongoza nchi ni kitu halali kabisa.

wewe ndie Msaky nini?naona sasa unampa promo Ponda,baada ya Zitto....kweli Bongo hakuna cha kuamini.Mwananchi ni ya hovyo sana..wamepata heshima harama wakaamua i abuse...kwa taarifa yako kwa hasira nilippoliona tuu nilimpa kijana aliuze tena, halafu watu waliokuwepo pale nikawalipia walisome halafu warudishe kwa kijana aliaweke na na kuwarudishia huku akiwa kapata hela.walinipotezea muda sana..na kwa bahati watu wengi walikasirika sana km mimi, wengi walinunua kw ajili ya kupata tender, na matangazo mengine.

Poleni sana nimewadaka by surprise..ndo hivyo watu waliojisahau huwa wanadakwa hivyohivyo...huwa wanafukuzwa watu makazini, wanashidwa ktk deal haramu kwa staili hiii.Tusubirie Mawio ,inawezekana wakatuletea habari mapema kabisa kuwa Mwananchi kuna watu walipewa hela kupitisha habari za kishenzi km hizi.

Kuna sababu nyingi kwanini nichangie wa kwanza na siwezi poteza muda kukuambiwa kwa vile udogo wa akili yako utapelekea maswali mengine mengi ktk thread ambayo lengo si hilo.Ina maana huwezi kuwa tofauti na vilaza wengine wa kitanzania wanaodhalilisha nchi kwa kiasi ch akuwapa wageni shida kupata mtanzania mwenye akili.Hembu jikaze kidogo km mwanamume uandike mchango wenye maana,zaidi ya kuwa coward na kujificha ktk matisho ya matusi.

HAPO KWENYE RED
unawaita wenzio BOYA kumbe wewe ndo BOYA haswaa!
sasa unajifaharisha au?
 
HAPO KWENYE RED
unawaita wenzio BOYA kumbe wewe ndo BOYA haswaa!
sasa unajifaharisha au?

well, kwako mimi ni boya ..kwa wengine naweza kuwa tofauti, na kwangu mimi nilichagua nijuacho nafanya nini?Nilikuwa nataka mreward yule kijana kwa ubeba gazeti la wezi wanowauzia raia magazeti yasiyo worth it kubeba..so niliamua muungushia yule kijana na si hawa wezi..wanaouzia watu kitu ambacho ukifungua unakuta hakina thamani ya hela yako, pamoja na muda wa kulichukua, na kungalia uchafu.

Na ningependa sana wengi wafanye hivyo, why ununue gazeti lenye tangazo upendalo, halfu ununue lingine lenye habari moha ya muhimu, halafu ununue lingine lenye makala moja nzuri, kutoa huo uchafu mwingine ili uutupe napo mjini ni shida kupata dustbins.Mwishowe unabeba uchafu mwingi.
 
Nicholas!
Wewe unataka Ponda aandikwe kana kwamba tayari ni Mhalifu wa Ugaidi. Haijathibitika mkuu na ndio maana Mwanachi linaandika vile hali ilivyo, na maneno yanayotumika ni madai..watatumia maneno inadaiwa..inadaiwa mpaka pale itakapothibitika.
Sasa kapelekwa gerezani kwa kuvunja masharti ya kifungo cha nje. na sio ugaidi. Na pale hajasifiwa Ponda bali zimeandikwa kauli zake. kwani haki ya kusema hana.?!!!Na mkewe pia kazungumza, Je! pia wamekosea kuandika kauli ya mkewe?
Ghandi and Mandela both fought for freedom, so is Ponda.

muwe mnasoma michago ya wengine basi ili msirudie maswali waliyokwisha jibiwa wengine...pengine nikuambie tuu kuwa Ponda ni mhalifu hata ktk mahakama kwa makosa aliyfikshwa nayo ,huku mengine polisi kwa kukosa weledi wa kuchukua ushahidi km walivyoshidwa mkamata salama Kule morgoro hadi wakaingilia haki zake, hayakufika mahakamani.Ponda na kifungo cha nje kwa vile keshahukumiwa. Na hiyo imekuja baada ya walio nyuma yake kufanya kazi ya ziada ili Ponda asifungwe, huku wakitaka wazunga wahanga wa mamabo ya Ponda.

Hiyo ya mwananchi ni kuhusu suala lililopelekea kupigwa risasi, ila kabla ya hapo Ponda ni mkosefu ktk Mahakama, ni mkosefu ktk jamaa ya waislam na wasio waislam.Ndio maana si makundi yote ya waislama wanamkubali,ndio maana anadaia mali za waislam,sijui na dhuluma ktk ya waislam wenzie.
 
Wenzako hawaandiki kama unavyotaka wewe,wao wanafuata weledi,sasa wewe ulitaka waseme uwongo?story ili iwe sawa lazima ibalance,sio tusikilize upande mmoja,hivi angekuwa pandre kapigwa risasi ungesema huo uharo wako?acha udini kijana,Sheikh Ponda naye ni Binaadamu jamani.

Padre ameingiaje hapo? Ooh Tanzania
 
Kwanza mimi sioni kwanini pia media inatoa kipaumbele hii habari ..kwanza yeye sio Mtanzania harisi.Ulizene wanaotoka Kigoma watakupa historia yake vizuri.
 
Back
Top Bottom