Recent content by herimimi

  1. H

    Baniani mbaya, kiatu chake dawa: Wa kushukuriwa ni Lowassa

    -kucopy na kupaste hapana. ingekuwa hivo asingefuta shamrashamra za sherehe maana Lowasa kutangaza nia tu alitumia mamilioni ya fedha. kukusanya sahihi za wadhamini ndo usiseme. naona Magufuri anatekeleza ya moyoni mwake.
  2. H

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    naunga mkono ushauri huu. faida zake zipo wazi kwa Taifa.
  3. H

    Soma alichokiandika Makongoro Nyerere katika ukurasa wake facebook!!

    poa tu, karibu ulingoni. ukipata tutauwa na first lady jaji!
  4. H

    Halima Mdee amkana Mkono

    RUCCI Mkono angelishwa sumu sijui kama angeamka? mwenyewe gonjwa siku nyingi ukiongeza sumu je! danganya watu hapa
  5. H

    Soko la pikipiki lapaa; siasa zahusishwa

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la mahitaji ya pikipiki kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu hapa nchini. Wimbi hili linahusishwa na wanaotaka uongozi kuweka order kubwa kwa ajili ya kuwahonga vijana kwenye majimbo ili kuwashawishi wawaunge mkono. Takukuru mpo?
  6. H

    CCM yaiponza Ndanda FC

    kama hii ni kweli, basi CCM poleni sana.
  7. H

    Muhongo: Ni upumbavu kusema Mnada Wa Vitalu Usitishwe

    watanzania tumegeukia biashara ya udalali kila sehemu. wenye kusema ukweli wanaonekana wabaya. tuibane serikali iweke mtaji wa kutosha TPDC kusudi hisa zetu ziwe huko. watu binafsi wengi wetu madalali na wachumia tumbo tu na wala siyo kwa maslahi ya maskini wa nchi hii. waendeleze vitalu vya...
  8. H

    Prof Sospeter Muhongo Unasubiri nini?

    hongera kwa kuona mbele, wengi wanaangalia leo tu!
  9. H

    TRA anzisheni mashine za kutoza nauli katika usafiri wa taxi

    wazo zuri, walifanyie kazi haraka.
  10. H

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    ili wamwonyeshe nani saa hizo?
  11. H

    Nashindwa kuchagua....!

    msaada wangu kwako ni huu, hivi sasa un mapenzi kwa vyote,rafiki na mpira. sasa uwe na UPENDO kwa rafiki yako. yote hayo yataisha.
  12. H

    Weather Warning: DAR, MOROGORO AND PWANI

    jamani hawa wanatabiri, siyo unabii kuwa lazima itokee.utabiri waweza badilika wakati wowote. muhimu chukua taadhari!
  13. H

    Nchimbi atengua uamuzi wa Polisi. Seriously?

    waziri ametoa uamzi sahihi, lakini inabidi RCO achunguzwe kilichomsukuma kufikia maamzi aliyotoa. kuna jambo nyuma ya pazia!
Back
Top Bottom