mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Ama kweli magamba wamefilisika Hoja.
Kwa kiongozi anayetegemewa na chama kutoa taarifa za kichama kama huyu Nape, ni aibu kwa yeye na chama chake.
Suala la TV siku hizi zipo maofisini muda wa kazi tunaangalia TV huku kazi zinaenda. Mwambieni atembelee ofisi nyingi mjini na hata mabenki kuna TV, na wanafuatilia vipindi vya Bunge.
Nape yupo Dunia gani huyu!!!!!!!!! Mbona mshamba hivi!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!