Soko la pikipiki lapaa; siasa zahusishwa

Soko la pikipiki lapaa; siasa zahusishwa

herimimi

Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
62
Reaction score
10
Kumekuwa na ongezeko kubwa la mahitaji ya pikipiki kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu hapa nchini.

Wimbi hili linahusishwa na wanaotaka uongozi kuweka order kubwa kwa ajili ya kuwahonga vijana kwenye majimbo ili kuwashawishi wawaunge mkono.

Takukuru mpo?
 
Kumekuwa na ongezeko
kubwa la mahitaji ya pikipiki kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu hapa
nchini.

Wimbi hili linahusishwa na wanaotaka uongozi kuweka order kubwa kwa
ajili ya kuwahonga vijana kwenye majimbo ili kuwashawishi wawaunge
mkono.

Takukuru mpo?

hilo la kuongwa silijui, ila hata mimi nitanunua pikipiki hivi karbuni inisaidie kukwepa hizi foleni, gari nitaitumia itakapobidi.....
 
Back
Top Bottom