Recent content by HENRY SHINDIKA

  1. HENRY SHINDIKA

    Afisa mkopo NMB Ngudu punguza dharau

    Duuhh kumbe hata ngudu haijulikani iko wapi!!!
  2. HENRY SHINDIKA

    Afisa mkopo NMB Ngudu punguza dharau

    Pole mwl umeandika kwa unyonge mno japo kuna ukweli
  3. HENRY SHINDIKA

    Mikoa 7 yenye kura za turufu urais 2015! UKAWA inapeta zaidi! CCM ipo hoi!

    si aapishwe tu kama hali yenyewe ndio hii sasa kampeni za nn
  4. HENRY SHINDIKA

    Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

    mdee kusema patachimbika aende leba kwanza ndo arudi aseme patachimbika ina maana hajaonja machungu ya kujifungua
  5. HENRY SHINDIKA

    Inasikitisha sana editing ya pampass

    juzi kati picha ya magufuli iliwekwa kaburini nawatu wakashangilia na leo mpongezen huyo aliyeedit
  6. HENRY SHINDIKA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    kwa burnley ilikuwa hiv
  7. HENRY SHINDIKA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    kwenye soccer visasi hugharimu kama iccidence ya matic kwenye mechi ya burnley fouk alichezewa yeye na aliporeact alikula umeme mwenyewe kwan uongo na nyie nliitetea saaaaana leo kwa chelsea nongwa kuwen fair
  8. HENRY SHINDIKA

    How to watch sky sports na canal + ukiwa Tanzania

    Mi nimenunua canal+ yaani full raha unatumia dish ladstv tu na lnb ni ileile mwendowa kupop kusoda tu
  9. HENRY SHINDIKA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    tumefungwa sawa ila kuna mambo kadha wa kadha yamenifurahisha leo kubwa zaid ni kucheza MPIRA ni hilo tu sanasana mengine matokeo
  10. HENRY SHINDIKA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    we mwenyewe hilo jina cio c lako we MAGUTAGAROBO mbona hujaliandika as ID acha ulimbukeni
  11. HENRY SHINDIKA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    au umekosea uzi we jamaa.kwan jina lina uhusiano gani na mtu? leo we ukiitwa mbwa utabadilika sura utakuwa mbwa.haya mi majina na picha yangu hivo hapo niambie umefaidika nn navyo.au watafuta ndugu nenda rfa c hapa yaan umeniudhi vibaya sana kwan we obama sasa?
Back
Top Bottom