Inasikitisha sana editing ya pampass

Inasikitisha sana editing ya pampass

Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuedit pampass na kuweka picha ya Mh Lowassa akiwa amevaa pampass.

Mimi si shabiki wa Lowassa lakini napenda kuheshimu utu wa mtu haijalisha kwako hana thaman.

Huyu ni baba mwenye watoto wakubwa na mke pengine na wajukuu(sijui) fikiria familia yake inaumia kiasi gani juu ya hili? Au wewe ndo ungekuwa yy ungefanyaje?

Hujafa hujaumbika,Mungu si Athuman leo wajiona mzima au bora kesho yako huijui,tufikie hatua tufanye kampeni za kistaarabu na si kutoana thaman kiasi hiki.

Hii stori bila kapicha hainogi
 
Ni kweli ulisemalo mkuu, si vizuri kumdhalilisha huyu jamaa kwa maladhi yake,,, lakini angalizo moja kwa wanaukawa, tukimkumbuka ZZK alivyokuwa akiwahasa wanaukawa juu ya siasa za propaganda ambazo walizianza wao wenyewe, tumeona mara kwa mara JK alivyozalilishwa pia mara kwa mara na wanaukawa natukawa tunashangilia lakini JK alivumilia sana kwenye haya hivyo EL naye hana budi kuvumilia,, MAGUFURI alizomewa na kakikundi cha watu mbeya hatukukemea, na tukaona sawa tu..
 
Kumbe kweli waiti hair mgonjwa! maana uzi umeandikwa kwa hisia kali. Nakumbuka wakati mh rais ameenda kwenye matibabu ya prostate kuna watu walikejeli na kutukana sana humu kwa mafumbo. Sasa mjomba nae sijui anaharisha mnajifanya waungwana kwani JK nae sio baba?
 
Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuedit pampass na kuweka picha ya Mh Lowassa akiwa amevaa pampass.

Mimi si shabiki wa Lowassa lakini napenda kuheshimu utu wa mtu haijalisha kwako hana thaman.

Huyu ni baba mwenye watoto wakubwa na mke pengine na wajukuu(sijui) fikiria familia yake inaumia kiasi gani juu ya hili? Au wewe ndo ungekuwa yy ungefanyaje?

Hujafa hujaumbika,Mungu si Athuman leo wajiona mzima au bora kesho yako huijui,tufikie hatua tufanye kampeni za kistaarabu na si kutoana thaman kiasi hiki.

Wakati ule wa JK mgonjwa mbona hamkusema haya?
 
Picha ya pampas inampaisha lowassa mara 3. Kwa ajili yoyote mwenye akili timamu anaona ni kwa namna mnavyomsemea uongo. Lowassa ni homa ya nchi sasa, upepo wote kwake. Si ccm si ukawa hakuna anayemkumbuka magufuli. Nyota ya lowassa inang'aa hadi tumfikishe ikulu
 
Ni udhalilishaji wa hali ya juu. Nimeiona nikaifikiria familia yake itakuwa inaumia sana. Siasa za Tanzania ni za kudhalilisha sijui tutastaarabika lini.kuna maisha baada ya uchaguzi jamani.
 
namaanisha kwamba siasa ni mchezo mchafu...practically kwa waswahili...

Ukiingia kwenye siasa kubali kuchafuliwa
..siasa za maji taka...

Hivyo nanyie react against...kwani mliyaanza wenyewe sasa yamewageukia...take it easy...

my brother you are not serious with intergret how can you support something which sounds nonsense in our society? Umewahi kumsikia lowassa akitukana au kumsema mtu vibaya? Don't triumph when the devil is ruling the country the national ellection committee has to be fair.hatari hawa polisi wetu wamekuwa kama green guard ya ccm
 
Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuedit pampass na kuweka picha ya Mh Lowassa akiwa amevaa pampass.

Mimi si shabiki wa Lowassa lakini napenda kuheshimu utu wa mtu haijalisha kwako hana thaman.

Huyu ni baba mwenye watoto wakubwa na mke pengine na wajukuu(sijui) fikiria familia yake inaumia kiasi gani juu ya hili? Au wewe ndo ungekuwa yy ungefanyaje?

Hujafa hujaumbika,Mungu si Athuman leo wajiona mzima au bora kesho yako huijui,tufikie hatua tufanye kampeni za kistaarabu na si kutoana thaman kiasi hiki.

Acha unafiki wewe bavicha hivyo vitu vipo Dunia nzima.

Kama hautajari embu tupia hako ''kaa picha''.
 
Wacha wamkebehi..ila watambue ndio rais wao.pipoziiiiiiiiiii powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuedit pampass na kuweka picha ya Mh Lowassa akiwa amevaa pampass.

Mimi si shabiki wa Lowassa lakini napenda kuheshimu utu wa mtu haijalisha kwako hana thaman.

Huyu ni baba mwenye watoto wakubwa na mke pengine na wajukuu(sijui) fikiria familia yake inaumia kiasi gani juu ya hili? Au wewe ndo ungekuwa yy ungefanyaje?

Hujafa hujaumbika,Mungu si Athuman leo wajiona mzima au bora kesho yako huijui,tufikie hatua tufanye kampeni za kistaarabu na si kutoana thaman kiasi hiki.

Watu walimchora Kikwete kwa picha za aibu sana lakini mpaka leo yupo kama Rais sembuse picha za pampers ambazo kila binadamu alishavalishwa.
 
Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuedit pampass na kuweka picha ya Mh Lowassa akiwa amevaa pampass.

Mimi si shabiki wa Lowassa lakini napenda kuheshimu utu wa mtu haijalisha kwako hana thaman.

Huyu ni baba mwenye watoto wakubwa na mke pengine na wajukuu(sijui) fikiria familia yake inaumia kiasi gani juu ya hili? Au wewe ndo ungekuwa yy ungefanyaje?

Hujafa hujaumbika,Mungu si Athuman leo wajiona mzima au bora kesho yako huijui,tufikie hatua tufanye kampeni za kistaarabu na si kutoana thaman kiasi hiki.

Lowassa anajidhalilisha mwenyewe, amekosa nini huyu mzee ni tamaaa tu ndio inamsumbua. Kwanini asikae nyumbani apumzike?? Anajijua fika yeye ni mgonjwa na hilo halina ubishi, kwanini asitulie nyumbani??? Wacha watu wamdhalilishe sababu ameyataka mwenyewe. Ukiingia vitani kubali kila aina ya kipigo kutoka kwa adui zako. Angekuwa ni mzazi wangu ningemshauri aachane na siasa na akae nyumbani atulie afurahie uzee wake taratibu. #HapaKaziTu Chagua Magufuli. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee MAGUFULI Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Lowassaaaaaaaa Kajinyeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ni maccm tu jamani wenye akili za kipuuzi. Wawezaje kumtania mgonjwa? Weye ni jiwe au?? Kuna msemo wa kikwetu usemao kuwa jani kavu la mgomba halicheki kuti kavu.
Utamchekaje mgonjwa wakati weye unatembea?? Ati kiongozi wako akutie nguvu kwa kwenda kupiga push ups na kuruka dirishani wakati gari inaenda
 
Back
Top Bottom