me nakumbuka kuna mtoto wa jiran nilikua namuelewa kumfata naona soo sasa nikaandika bonge barua nikanunua na kadi ya I LOVE U(kipindi cha kadi ilikua si mchezo) nikampa bhasi nimetoka misele nafika home maza akanambia kuna mzigo wako umeletewa na mama naniii(mama wa dem) kufika nikakuta ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.