Nyamiyaga
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 757
- 590
Mkuu, wanawake ni watu wa kukaa nao makin saana. Naamin kabisa muda wa miez sita unatosha kila mmoja kumsoma mwenzake. Jaribu kufanya tathimin ya namna mlivyokua mnaish hapo mwanzon na sasa. Kama unaamin ana mapenz ya dhat kwako, kaa ongea nae kiustaarab naamin atakulewa. Bt sometyme kwa kua humjaoana usipende kua open saana kwa kila kitu kwake coz anaweza kujua udhaifu waako ulipo na akautumia kukutesa..Mkuuu umeongea pointi kubwa sana manake baada ya mahojiano nae Jana akasema yaaani mungu anisaidie nipate kaz niachane nahaya mambo
Sasa mkuuu naomba unishauli yy Leo drsn anatoka saa tatu usiku Mimi nimeshatoka ili nionekane gentlemen nioshe vyombo na nipike au nikaushe