Daaaah Hizi Mingle za Madem znankumbusha mbal sana. Mwaka 2008 nkiwa Form 4 pale Azania, Nlikua na jamaa yng nnasoma naye pia hata majina ya mwanzo yana fafana na mimi. Huyu jamaa kwa sasa n Marehemu (RIP Brother).
Huyu jamaa alikua anakaa mbezi Beach pale mtaan kwao kulikua na Demu mmoja mkali sana. So jamaa alikua anafukuzia Huo mzigo kwa muda . Hatimaye alifanikiwa kula Tunda na wakawa Wapenz kwa muda kadhaa. Lakn Baada ya Muda wa miez kama 6, Hile familia ya mwanamke/Demu kutokana na Hali ya Uchumi kuyumba ikabidi wauze nyumba yao mbezi na kuamia kwenye Nyumba yao Nyingime Mbagala. Lakn Mapenz yao na jamaa yangu yaliendelea kama kawaida.
Kuna cku Jamaa alituaga anakwenda kuonana na mpenz wake Hko mbagala, So jamaa aliondoka na Marafk wetu wawili kwenda Hko kwao na Demu wake. Baada ya kufka Huko mabagala nyumbani kwa yule Demu, Getini walikutana na Caretaker/Watchman/Onerungu wa familia hyo. Baada ya kufka pale yule Caretaker aliwauliza wao n wakina nan na watataka nn.....?
Basi wale ndugu zetu walileta ubabe na kuanza Kumjibu yule Caretaker wa hyo familia Vibaya c unajua tena Ujana na maji ya moto pia kuwa mwili nyumba/Body Builder n tabu sana. Basi yule mlinzi aliwafukuza kwa mawe na kuanza kuwaitia kwamba n wezi. Na Wananchi wenye Hasira kwa kali wakuja na kuanza kuwakimbiza wale mwanafunzi wenzangu.
Bahati mbaya yule alifuata Demu wake alijikwaa nakudondoka chini. Ghafla Bini vuuu wale wananchi warifka na kuanza kumpiga mwanafunzi nwenzetu bila ya kujua kisa halisi cha wao kuitiwa wezi. Walimpiga sana na hatimae walimuua kifo kibaya sana. Kifo cha Maumivu makal sana. Ni miaka 9 sasa imepita toka jamaa atangulie mbele za Haki.