Recent content by HELA

  1. HELA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Viongozi kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano sio lazima

    Dkt. Salaa ameeleza vizuri kabisa, akili zimeanza kumrudia huyu mzee. siku zote huwa anajua maandamano ni dili za watu kutumia watu ili kupata chochote kitu. Ni bora kila mtu afanye kazi yake.
  2. HELA

  3. HELA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa na kufaulu kuleta pambazuko la uchumi kwa Mamilioni ya watanzania

    R Ni kweli Rais Samia amefanya mengi kwa muda mfupi
  4. HELA

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hivi VAR inafanyakazi gani pale EPL Chelsea kaonewa.
  5. HELA

    JamiiForums Tanzania Kinana: Serikali iwachukulie hatua waliotajwa Ripoti za CAG

    Kinana ni mtu sana
  6. HELA

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya Muungano, Dkt. Philip Mpango aziongoza Dodoma

    Tudumishe muungano
  7. HELA

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC ingeshinda leo Watangazaji na Wachambuzi walipanga kusema haya Kesho ila kwakuwa imefungwa watasema hivi..

    Yusuph Mkule na Paul Mkai Wasafi FM hawa jamaa ni wanazi wa Yanga hata wenyewe wanajijua
  8. HELA

    JamiiForums Tanzania Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

    Hahahahaa Tff ndiyo wabaya wetu. Karia atoke hahaha
  9. HELA

    JamiiForums Tanzania Youtubers tukutane hapa

    Nimeshakucheki
  10. HELA

    JamiiForums Tanzania Youtubers tukutane hapa

    Changa sana hii mkuu
  11. HELA

    JamiiForums Tanzania Youtubers tukutane hapa

    Mkuu natafuta channel ya kununua yenye Subscribers wengi
  12. HELA

    JamiiForums Tanzania Morrison kupewa ushindi,wachambuzi maandazi leo limewashuka

    Hata washabiki wa yanga hawawezi kuwasema chochote GSM waliowaingiza chaka. hata ishu za Laliga kuna chenga nyingi sana.
  13. HELA

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris ndiye mgombea mwenza wa Joe Biden

    Ana approval rate kubwa sana kwenye chama chake cha republican
Back
Top Bottom