Haina features nyingi kama walivyo eleza harafu ina watermark kwahyo si nzuri
Je ni app gani ambayo ulisha wahi kutumia au unaotumia kufanya editing za video kwa kuweka vitu vingi kama maandishi na vitu vingine.
Tujuzane ili na wengine tuijaribu
Unaenda Google au browser yeyote ile kisha unaandika 'kinemaster apk' itakuletea kisha una_downloadOut of playstore unadownload vipi mkuu share ujanja
Mkuu natafuta channel ya kununua yenye Subscribers wengiMm nimekuza channel yangu kwa mbwinu Moja rahisi sana..
* Kupiga kazi bila kuacha au kukaa muda murefu bila kuzalisha content
Kawaida ya algorithm huwa ina recommends channel ambayo muda mwingi inazalisha content back to back bila kuchoka.
Kwa hiyo nikujitahidi kutengeneza contents za kutosha na kuaploads video mara kwa mara.
Mm binafsi kwa sasa kila siku lazima niapload video 2 mpk 3 kwa siku
Siku nikiwa na muda wa kutosha huwa na tengeneza hadi video kumi
Ili hata siku nikishindwa kuzalisha content basi siwezi shindwa cha kupost.
Nakuhakikishia ukianza kufanya hayo niliyokuambia hakika utayaona mabadiliko makubwa ukilinganisha na awali.
Mungu hakutuumba wavivu sema tunaupandikiza tu.
Cheki hii japo ni changa, then nikupe connection.
ongeza laki moja tu nikupe CanonMsaada.Nahitaji vlog camera y Laki 400000 yenye ubora ntaweza pata?
Mimi nina ka channel kangu kapya, Kanajihusisha na maswala ya Muziki! Yaani nina upload Beats & Acapella za miziki ya kibongo, Nisaidieni kukasupportWadau kama wewe ni mmiliki au mtengenezaji wa channel YouTube.
Au ni mdau wa YouTube, tukutane hapa ili kujadili maswala yanayo husiana na YouTube channel kama vile kutengeneza, kumonitor, kupata mbinu mbalimbali za kupata subscribers, viewers, comment na shares.
Pia uwanja huu utahusisha Sub for sub(Sub4sub).
Mimi leo nimeupload nonstop yangu ya bongoflava okdakool youtube..ambayo nimeimix mwenyewe lakini wameitoa nakusema kuwa kuna content za ngomma vas..sijaelewa kabisa



Hii ilinikuta pia mkuu, Sio poa nli upload Acapella ya Zuchu - Sukari ikatolewa, Sasa hapa nina MixTapes zangu 2 za Old Bongo Fleva nawaza namna ya kuziupload wasiziondoe..Hawa wajinga Ngomma ndo waliniblock nyimbo ya ZuchuNgomma ni Kampuni ya Kenya. Hizo video ulizoweka itakuwa wao ndio wanazimiliki.
Ni copyright issues