Recent content by heavens

  1. H

    NMB. Please msaada wa interview zao kwa wajuzi

    Nimeshawah kufanya interview NMB maswali yao ni zile hesabu za mafumbo mafumbo, kama huyo jamaa hapo aliyekwambia kwamba "bata mbele ya bata na bata nyuma ya bata ni bata wangapi?" Its true huwa wanatoaga maswali ya namna hiyo so inabidi IQ yako ya maths iwe high kidogo, then kwa kukusaidia tu...
  2. H

    Msaada wa 'written interview' uhamiaji.

    Tatizo sio kujibiwa tujiongeze pia muda mwingine mtu anakuwa offline,so ungevuta subira kidogo mpaka kesho hivi ndo ungenipa hizo lawama, I was offline So far jumatano watu wanaenda kufanya written interview Jumamosi walikua wanakaguliwa vyeti Haya nipe idea ya maswali nimpe mwana
  3. H

    Msaada wa 'written interview' uhamiaji.

    Natumaini mpo wazima, naombeni mtu mwenye 'idea' ya maswali yanayoweza kutoka katika 'written interview' ya uhamiaji anisaidie, au muundo wa maswali yake unakuaje,' please' naomba anisaidie, asanteni sana.
  4. H

    Uhamiaji watangaza ajira

    Mmmm [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] doh! Dada/kaka umeandika kwa hisia [emoji23] [emoji23] Magufuli atatutoa roho na hizi ajira, mshaanza kupigana kwenye comment [emoji23] sasa hiyo siku ya interview itakuaje?
  5. H

    Uhamiaji watangaza ajira

    Ila si wanataka wenye shahada na stashahada tu?
  6. H

    Uhamiaji watangaza ajira

    Omba Mungu nyie wavamizi msiwe wengi ila mkiwa wengi nakwambia mtatolewa wote watabaki wavamizi wenye connection ila its good kujaribu huwez jua bahati yako ila bado omba msiwe wengi sana kwenye eneo la tukio, coz nna rafiki yangu alikua wakujitolea anakwambia wenye wenye degree na vigezo hivyo...
  7. H

    Kuitwa kwenye uptitude test TPb benk

    Hamna hata cha ubora washkaji zangu wamerudi juzijuzi wamekaa miaka 3 wamechakaaa, bora hata ungempeleka kijijini ukampa alime heka zake za vitunguu apate hela kuliko kwenda kulilimia jeshi alafu unatoka kapa, so usifurah saanaaa muombee tu Mungu maisha yamebadilika
  8. H

    Msaada katika Usaili wa Security Officer TAA

    Dah! Ndugu yangu na mimi nikiitwa kwenye usail wowote ntakutafuta unipe nondo [emoji23] , naona nondo zako zina upako, safi sana na Mungu akibariki
  9. H

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Oral interview ina jumla ya marks ngap? Kwani mliambiwa mtajumlishiwa na practical?
  10. H

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Kama ulijibu maswali yote kwa usahihi why do you worry? We kama umejibu vizuri bila mikurupuko yako unayotukurupukia hapa basi utapass
  11. H

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    So walikua hawaangalii confidence yako wala usmart wako na wala jinsi unavyojieleza au Mradi tu ujibu maswali ma5 kwa usahihi???
  12. H

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Kwanini nyie hayajatoka? au mmefeli wote? Tena nyie wa vitendo ilibidi yatoke mapema kuliko hawa wengine
  13. H

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namuonea huruma mwanamke utakaye muoa
  14. H

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Ila nilikwambia dogo ujiandae na kwata na kule utaenda kukutana na wanajeshi, ukaniona nakupa ronja za uongo [emoji23] [emoji23] , ila mwanaume wa kweli anapambana akimbii majukumu, sasa wewe umekimbia kwenye interview na namba ulipewa doh hahaahahaaaaaaa
Back
Top Bottom