Uhamiaji watangaza ajira

Uhamiaji watangaza ajira

Kipindi wana rudishwa home mlikuwa mnawacheka eti walienda jkt kupoteza muda leo wameitwa kwenye usaili udenda umeanza kuwatoka. Na bado majeshi mengine yanakuja kama magereza, polisi, zimamoto na JWTZ sifa uwe jkt kujitolea.
, najua ndo nyie ila nasemaje, TUNAVAMIA BOGI MKITAKA KUFA
 
trh 10 loading....ntaenda kuchungulia na kachet kangu ka kujitolea op magu... naamini nashnda.
 
Lazma bog livamiwe
Omba Mungu nyie wavamizi msiwe wengi ila mkiwa wengi nakwambia mtatolewa wote watabaki wavamizi wenye connection ila its good kujaribu huwez jua bahati yako ila bado omba msiwe wengi sana kwenye eneo la tukio, coz nna rafiki yangu alikua wakujitolea anakwambia wenye wenye degree na vigezo hivyo hawafiki 300, na hao wanajeshi wanavyopenda kuteteana mmmmm sijui... Jaribu ila
 
waliokurupushwa jkt ni wengi mno, nais ni zaid ata ya 3000, sema wengne wako mbali, wengne hal ya uchumi, na pale wanajeshi hawausiki, ila hasa hasa watu wa uhamiaji.

yaani ata wakihusika ua hawana sumu, m nilkuepo usaili wa TPA, hawana sumu, kabisa, omba usiwakute kambini alafu wewe ni kuruti
 
mzee bogi lazma livamiwa na sifa ya mjibu ua ni waoga hatutazidi 10
 
Ila si wanataka wenye shahada na stashahada tu?
 
Tunavamia tu.. Mujibu hoooooooeeee... AT 3467899643 ......SM..
 
mazee ka vp tuunde group la watsapp kuna maafisa uhamiaji wawili wamenipa details tukifukuzwa bas, ila twende mazeee, ilmrad atutapgwa, na wala hatuna vyetu fake, na hatupo mkoani yaani hamna hasara
Mukuje Muone kitakachowapata
 
mzee bogi lazma livamiwa na sifa ya mjibu ua ni waoga hatutazidi 10
Tambo zote za nn ?? Unajua huu Uzi unapitiwa na watu wa aina gan ?ebu tulia mdogo wangu hata kama una mbanga punguza tambo hiv jkt mnaenda kujifunza upuuzi unaofanya hapa ?? Hii program ya mujibu naona haina faida kabsa kama vijana waonawazalisha ndo wanakua wajinga na wehu kbsa eti na nyinyi muwe viongozi wa badae shame on u..ficha ujinga wako kijana
 
mazee ka vp tuunde group la watsapp kuna maafisa uhamiaji wawili wamenipa details tukifukuzwa bas, ila twende mazeee, ilmrad atutapgwa, na wala hatuna vyetu fake, na hatupo mkoani yaani hamna hasara
waforenishe ivyo ivyo mujibu wenzako ..muje kwa wingi then muone kitakachowapata
tunawatamani
 
Tambo zote za nn ?? Unajua huu Uzi unapitiwa na watu wa aina gan ?ebu tulia mdogo wangu hata kama una mbanga punguza tambo hiv jkt mnaenda kujifunza upuuzi unaofanya hapa ?? Hii program ya mujibu naona haina faida kabsa kama vijana waonawazalisha ndo wanakua wajinga na wehu kbsa eti na nyinyi muwe viongozi wa badae shame on u..ficha ujinga wako kijana
imeisha hamna atakaeenda, naona ajira zmekua mgumu mnataka kututoa pua,

yaani nyie wa kujitolea ata makambini ua hamtupendi kabisa afadhali ya maafande,

basi mimi binafsi msjije kunitoa, uvungu
 
We ulikua op gani?
 
Kajaribu mkuu TPA watu walivamia BOGI na wakaenda hadi ORAL hautopigwa mkuu.
 
Back
Top Bottom